Ushauri wa haraka unahitajika

Ni bora Jackie avunje mahusiano na John, aimarishe penzi lake kwa Dogo, hii ndio njia pekee inayoweza kuwaweka salama pande zote tatu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yote mawili yanawezekana kulingana na huyo mdogo mtu. kama yuko tayari ku-risk undugu na kaka yake haya na kama huyo binti hataki kuathiri undugu wao pia poa tu. atapata mwingine huko si lazima awe na huyo dogo mtu
 
Wanawake na wanaume ni wengi duniani. Ongea na John na umuambie unakusudia kumuambia mdogo wake sababu ya kuvunjika uhusiano ili J naye apime uhalali wake kumfanyia hivyo mdogo wake. Wasiwasi wangu ni kuwa dogo huyo atamtilia shaka Jackie akiisha jua nini kilikuwa kinaendelea behind the curtain of his bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awaachie watu undugu wao.............. Mashine zipo nyingi tuuuu...ila undugu wawatu utabaki kua undugu ...sembuse nadogo naye akawa lengo lake nikupiga mzigo tuuuu Basi ... Sasa nn hasa cha kuachanisha watu undugu wao kisa papuchi na machine ??!?????
 
Kuna badhi ya mambo omba yasikusibu

Me ningekua Jackie si nampemda mdogo mtu ningekua wazi kulinda mpenzi yangu

Madame S
Hofu yake ni je dogo atamchukuliaje kaka yake, ikiwa ni mtu anaemuheshimu kama baba yake maana amemlea? Na je dogo atamuamini kuwa ni kweli au atamuona tu kama anajitetea tu kwakuwa tayari siri zake zishajulikana!!!
 
Amesema akimweleza dogo ukweli atakana na kumueleza kuwa binti ni kicheche hivyo anajitetea tu ili awavuruge. Hapo ndipo taabu ilipo.
 
Hofu yake ni je dogo atamchukuliaje kaka yake, ikiwa ni mtu anaemuheshimu kama baba yake maana amemlea? Na je dogo atamuamini kuwa ni kweli au atamuona tu kama anajitetea tu kwakuwa tayari siri zake zishajulikana!!!
Huyo dada apime mwenyewe aone lipi sahihi kwake kwa kweli

Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…