kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
mkuu mimba nyingi hutoka zikiwa changa au kuharibika kama aliona damu ajue ishachomoka hiyo.... muhimu kama vipimo vimeonyesha haipo basi haipo
Mimi sio dikta ila nlikuwa namshirikisha mtu hapa anasema " huyu hana mimba hapo ni kuwa bado hajarud ktk normal ndo maana vipimo vinaonyesha ni +ve but ukweli ni huo".
Hayo ni maelezo ya mzazi hapa ananieleza,wiki mbili ni muda mfupi sana
haipo hiyo mkuu, mwambie aendelee na plan A,
ila huyo shemeji yako nae kiboko
Mkuu hapo inabidi uamini result tu kama mara tatu vituo tofauti majibu sawa.
Haina haja ya shingo ngumu kukubali hapo
huko kuona damu kama alikuwa nayo inaweza kuwa imetoka .... kama anayonyesha vizuri hasa nyakati za usiku ndiyo njia nzuri ya kutokupata mimba ila kama anamtoto mvivukunyonya aisee atafute mbadala mapema ..........Aksante sana miss chagga kwa ushauri , off course hata yeye aliniambia aliona matone ya damu kidogo. Lakini miss chagga kuna mtu aliniambia mama aliyejifungua akiwa ananyonyesha ni vigumu kupata ujauzito japo inaweza kutokea, je kwa uelewa wako mama mwenye mtoto wa miezi miwili na wiki tatu anaweza kupata ujauzito? na je, kuona damu kidogo kama aliyoniambia kuna maanisha nini?
sawa mkuuImani yenyewe ni dawa, mtu ataishi kwa imani, asante sana mkuu