nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi[/QUOT
The best way to stop the behaviour is to stay far from it...,
nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi
Unachukia kitu gani saa nyingine msagaji??eti msaada wa haraka??na hiyo miaka 6 mbona hukuwa na haraka nayo ukaacha mapema?? Unachoboa unajijua kama ni msagaji,na unajua kama unafanya makosa,sema unatafuta njia za kuhalalishiwa huo usagaji.
chineeeekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kamuone mwanasaokolojia
ndo maana sitaki kusikia wala kuelezwa khs boding
Pole sana, huyo gf wako ndo ulianza naye form one hadi chuo?
dont fight it gal.... wewe just enjoy the best of both worlds.
yaani ungeomba ushauri miaka 6 iliyopita ingekuwa poa sana!!kama huwezi acha,try threesome