Ushauri wa fasta fasta unahitajika..

Si bure nilirogwa hivi kwa nini naona aibu kumwomba mwanaume hela? Aisee siwezagi akipenda anipe mwenyewe.

Nachoamini mwanaume kama anakupenda hawezi subiri umuombe, Mara utaona mpesa inaingia.

Mwanaume anaekupenda lazima akuulize kodi ya nyumba inaisha lini.

So hakuna haja ya kumwomba pesa mwanaume. Na asipo kupa chukulia poa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…