ushahd
Senior Member
- Jul 30, 2019
- 176
- 104
Habari za Leo wadau,kwanza tunamshukuru Mungu kwa kupatiwa nafasi tena ya kuapply round ya nne kwetu sisi ambao hatujapata nafasi za vyuo,tunawashukuru TCU kwa kulitambua hili nakutupatia nafasi tena,sasa ombi langu ni kwamba mm nimesoma Cbg combination na nilichagua course kama microbiology, agronomy, human nutrition,environmental, biotechnology,.Naomba ushauri wa course ambaye naweza kupata ambayo Hata nikikosa hajira yaweza kunipa fursa ya kujiajili,karibuni kwa maoni yenu,Ahsante