Guns and Roses
New Member
- Aug 15, 2011
- 2
- 0
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe
<br />Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe
Hapo ndipo siku zote ninapoona busara zako, haya ni maneno mazito sana. Thanks a lot!!Sijui kwa wengine... but mimi ndo huona weengi wetu huchemka hapo... ukihisi tatizo kidogo tu katika ndoa/mahusiano yako unataka kuachia ngazi... ndo maana unakuta couples nyingine zikiachana huku bado wapendana.... Sasa hili la dada yako... Mapenzi hayawezi enda siku zoote constant, eti vile mapenzi yalikua mwanzo basi siku zoooote yawe vivo hivyo... haiwezekani kabisa.... inapotokea kua wahisi mme buma... wahisi kabadilika kidogo.. wahisi hauna tena umuhimu kwake... fight! hakikisha kua you work with extra abundant efforts to maintain huo uhusiano... ila hata ikishindikana kuweza contain hio relationshionship - at least you know you tried...
Hayo mambo ya kupima kila saaa.... na kila mara wataka kuonesha wee pekee ni wa maana katika hii dunia... of course ni nzuri for that is what makes us feel speacial katika relationships... however inabidi pia ujue kuna wakati mpenzi wako aweza kabisa isha hamu juu yako (thou still loves you).. ni muhimu kuvumilia for in most cases hurudi katika mstari with time... thou not always... saingine hua ndo imetoka.... Kikubwa ni kuepuka maamuzi ya haraka... na issue za kuchunguuuuza! Chochote uchunguzajo ni lazima pawe na results..... Whether to your liking or not that is another issue
Hapo ndipo siku zote ninapoona busara zako, haya ni maneno mazito sana. Thanks a lot!!
Hicho kipimo!!
Hivi ni lazima umpime mtu ndio ujue anakupenda? Unampima ili iweje sasa au mnataka kujipa stress..
Huyo shemeji nae anahitaji nafasi, sio muda wote kuandamana tu kama visisimizi. Alifurahi maana alijua atapata nafasi ya kuinteract na watu wengine, kupata ideas mpya na vitu kama hvyo.
umemaliza,sina chakuongeza,Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe