Ushauri wa dada

yeye lazima aone utamu kwa sababu kaolewa,sisi tuliooa tunakula ngwamba kila siku sema tunakomaa tu kiume..
Dooh🙄, lakini ilikua hivo tangu mwanzo(hizo ngwamba)au mambo yalikua poa ila baada ya mda ndyo mmebadilika?, tatizo lilianzia wapi?,kwanini hamkurekebisha mapema ili huo utamu uendelee kama mwanzo,?
 
Dooh🙄, lakini ilikua hivo tangu mwanzo(hizo ngwamba)au mambo yalikua poa ila baada ya mda ndyo mmebadilika?, tatizo lilianzia wapi?,kwanini hamkurekebisha mapema ili huo utamu uendelee kama mwanzo,?
mwanzoni mapenzi yalikuwa matamu sana lakini kadri siku zinavyokwenda mbele ni balaa,hatuheshimiani tunaishi kama mtu na msela wake,michepuko,ujeuri,leo tunaongea vizuri kesho tunavurugana,mi niko job yeye huko kwenye biashara zake yuko bize na michepuko,yaani inafika wakati nasema sijui tuachane tu lakini mtoto ndo anatuunganisha,nikifikiria ninavyoheshimiana na mama mkwe,na shemeji zangu basi napiga moyo konde tunaendelea tu na siku zinakwenda..
 
ooh, i can feel you mkuu, polee. ila hiyo kuchepuka kwa mdada mwenye ndoa yake huwa naona ni nadra sana ,sijui lkn, ila najaribu kuwaza nini kinasababisha hivo au kuna sehemu ulizembea mkuu(zile cares za mwanzo zilipungua) hivo ukampa mwanya wa kufanya hivo kuzitafuta huko nje,pole lkn.
 
Sasa wote mnao pinga ndoa, ina maana mlizaliwa inje ya ndoa? Ao wazazi wenu hawakuwai kuishi pamoja?
 
Tatizo ya watu, sijuwi ni kutokuelewa ao nini? Wengi mnao owa ao mnao olewa, kwanza kabisa yule mwenza wako familia zenu pande zote 2 zinatakiwa Zifahamiane kwa mda mrefu. Mwanamke bora ao Mume bora niyule uliye chaguliwa na wazazi. Hawa wengine labda mlikutaniana Club, Casino... Ndo unakwenda kuowa ao kuolewa, UMEFELI!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…