Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
yan nimecheka bila kpenda jamani!dahEti utamkumbuka. Kwani yeye Baba wa Taifa?
hahaa mkuu, nimehusianisha tu na huyo dada ako anavokusisitizia uoe na kwamba ndoa ni tamu, so nahisi utamu ndyo mwingi kuliko kutibuana.Hahah huo utamu 90% umeujulia wapi?
hahaaa, shauri yako endelea kijicheleweshea utamuJidanganye ujichanganye!
duuh harusi ya 2M ?? labda utatulisha mikate na chai,kweli FN 200 haijakuacha salama kabisa si kwa ubahili huoMimi nawazia tu michango, mnichangie zifike 20M halafu naenda kufanyia harusi ya 2M kijijini.
Milion 2 ni pesa nyingi sana kwa kula na kunywa hasa kwa watu wa vijijini tunaopedwa uji wenye sukari nyingi. Otherwise labda unataka nimlete Mic Pilipili na Harmorapa!duuh harusi ya 2M ?? labda utatulisha mikate na chai,kweli FN 200 haijakuacha salama kabisa si kwa ubahili huo
Mkuu wamekusikia[emoji859][emoji859]Wacha kwanza wapige usichana wakisha fika 26-30 maombi kwa wingi wakifikisha 31-35 kuvunja nazi kwa wingi hua kwa babu hawatoki na wanasema wamerogwa kumbe mda unawaaga,wengine wanavyo chagua sasa mimi yule hata gari hana,wakati yeye shule kaishia la 7 mwengine aaaah mweusi nae yule ataniharibia wanangu watakua kama wajaluo mda unakwenda hapooo,matokeo yake wanampata mume siku ya harusi anachezaaaaaaa mpaka unashangaa kwani huyu alikua na ahadi siku yangu ya harusi watanitambua..? manake niku cheza kila nyimbo kwa jazbaaaa.lol
Kwanamna nyingine anataka uepukane na kuzini,pia uoe ili uepuke magonjwa dunia imebadilika,ndo maana kakazia _utamkumbuka"kusema laiti ningejua ningemsikiliza Dada."Uoe mdogo wangu, familia ina raha yake kiukweli maisha ya ndoa ni matamu sana. Shauri yako, utanikumbuka dada yako"
Sawa mkuu lakini haya mambo si ya kushauriwi inabidi mtu ujiandae na ujipime kama una uwezo wa kuingia huko. Sidhani kama kuoa kwa ajili ya ngono ni uamuzi sahihi.Kwanamna nyingine anataka uepukane na kuzini,pia uoe ili uepuke magonjwa dunia imebadilika,ndo maana kakazia _utamkumbuka"kusema laiti ningejua ningemsikiliza Dada.
Kujiandaa ni muhimu sana,ushauri wa Dada anataka ufikirie suala hilo kwa kina,huku unajipanga haijalishi uoe liniSawa mkuu lakini haya mambo si ya kushauriwi inabidi mtu ujiandae na ujipime kama una uwezo wa kuingia huko. Sidhani kama kuoa kwa ajili ya ngono ni uamuzi sahihi.
Hahahahha mkuu, huo uchokozi sasa.Labda kugombana kwao ndio utamu Wenyewe anaouongelea huo "... wewe hujawahi kuona kuna wanawake wakikaa muda mrefu bila kupigwa " wanatafuta sababu ili wapigwe ""!!?
Hahahahah...dah ninyi watu ninyi[emoji1] [emoji1]kutibuana ni 10% na utamu 90%, oa mkuu
vipi kamanda mwenyewe, Oa ujionee ndoa raha😀😀Hahahahah...dah ninyi watu ninyi