Habari za siku wana MMU.....
poleni na majukumu na kila siku
Mimi aisee ngoja niende moja kwa moja kwenye mada aisee...
Ama kweli kwenye vitabu vitakatifu hawajakosea kuandika kuwa hawa viumbe tuishi nao kwa akili ...
Takribani mwaka mmoja na nusu saivi nilianza mahusiano na binti mmoja mrembo aisee moyo wangu aliushika sana ...
Baada ya approach to ambayo ilichukua karibu mwezi kukubali alinipa masharti moja tuu kuwa hamna sex mpaka ndoa ..
Na mimi kwa kua mtoto nimempenda na mzuri na mcha Mungu mtoto wa kiislamu swala tano haikauki kwa huyu mlimbwende basi nikasema hapa Nisiwe na pupa. ..
Aiseeee Mpenzi upofu Nilimvumilia sana bila hata kula mzigo hata kushika titi ila hakuna mtu aliyekua anajua kuwa kama sijawahi kula. .
Mimi mkristo na yeye binti Muslim ila kwa kua Tunapendana ilibidi kwa hiari yake aanze kwenda kanisani mpaka mimi ni kaanza kushangaa kuwa huu upendo sio mchezo kwa kufupisha yapo mengi yalijiri ila...
Kubwa zaidi hili la kukaa na binti kama pesa kidogo ya Matumizi nampa kwa week laki mpaka laki na nusu hadi mbili na pia nilimsaidia kumsomesha chuo kuanzia yupo second year mpaka anamaliza mana alipata mkopo kama 50% kwenye 120000/=
Yapo mengi tuliyapitia kwenye mahusiano. ..
Kizunguzungu hiki week ya pili hata akili haipo sawa ...
Week zilizopita aisee mPenzi wangu nilienda kumtolea posaa wazazi wake walisema kama milioni tano ila Tulifanya mazungumzo mpaka milioni tatu na nusu nililipa cash. .
Sasa siku tatu baada ya posa binti sijui nini Anishawishika alikuja home tulilala kitanda kimoja. ..
Aiseeee ulikua usiku mchungu kwangu siwezi kusahau mana Nilimvumilia nilijua kama alivyokua anasema dhambi kwakua yeye Bikra. ..
Niliyoyakuta sio ya hapa binti katumika na tena mzoefu aise mood iliisha niliishia kufunga Goli moja ..
Niliondoka ghafla room nilienda kulala Hotelini kwa hasira....
Nilimuacha analia tuu home kila akipiga simu sipokei na sms sijibu. .
Yani mtu mcha Mungu kabisa aisee wanawake hawa siwaamini tenaaa
Week saivi na zaidi nipo tu kitaa full stress jamani na vikao vinaendelea miezi sita ijayo ili tufunge ndoa ila mpaka hapa sijui la kufanya nimevurugika jamani ...
Naombeni hekima zenu please ushauri ndugu zangu