Ushauri wa bureee

Ushauri wa bureee

ema mponzi

Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Kwa mnawapeleka watoto pre form one wanafundisha civics,chemistry,biology,physics,math,english nq geography wengine mpka history kweli mnawaaribu watoto na ndio mwanzo wa kufeli.... napita sehemu wanafundisha pre form one wanawakaririsha biology definition yenyewe kama risala kweli tena mnawapoteza bora mda hu wasome masomo yasiyochosha ili wajiandae na pre form one hayo masomo jiandaeni kwa ajili ya tution badae...
Nawaambia hili kwa sababu nina uzoefu unaenda huko shule unamuandikia mwalimu definition ya huko ulikolishwa matango pori unashangaa hupati hata siku moja .. wazazi , ndugu kuweni makini kwa hili
 
No evidence no right to speak, elimu ya bongo mpaka chuo kikuu ni mwendo wa kumeza na kukalili kama yalivyo kwenye kitabu, hasa ayoo masomo ya sayansi ndio hatari,
 
Back
Top Bottom