Kabisa mkuuHATA BABU ALIVYOMWOA BIBI, BIBI ALIKUWA NURSE, LAKINI ALIVYOTIA MIGUU YAKE NDANI ,KAZI NO , NA WAMEISHI KWA FURAHA TUU MORE THAN 78 YEARS MPAKA MZEE ANAFARIKI, ME NIKIKUOA, KAZI HAKUNA KUFANYA, MWANAUME ABAKI KUWA MWANAUME ,
MFUMO DUME UHESHIMIWE., ASILIMIA 98
% KWA 2% NA SIYO 50%50%
Wiselly said, yani ni wachache sanaaa. Kazin kwetu kuna wadada wawili na masters zao nawaona wanaisogelea meno pause na hakuna hata engagement ya kuigiza.Mzee unaharibia wadada flani na Masters zao ila nafikir wapo wanawake rare breed ambao ni career ladies wenye nidhamu za kimke
Alafu mkuu sida siyo kufanya kazi, tatizo ni wakianza kupata vipesa, dharau zinaanza, atataka arudi saa sawa na wewe mkula home, mzigo hakuna ati kachoka, hatimizi kilichomleta ndoani, wazee wetu walikuwa na akili sana ,.Kabisa mkuu
Nadhani anachojaribu kufikisha hapa.. ninkwamba wanawake wengi ambao ni career woman huwa wana ile sense ya kutaka mamlaka ndani ya nyumba.Kwahiyo wanawake wote wanaosoma wakipata ajira tusiwaoe ......
Yes wapo. Hapa ninapofanya kazi wapo ni tena wakali kimvuto. Ni wasomi yes lakin wanaelewa nafasi zao majumbani kwao na wako responsible kwa waume zao.Mzee unaharibia wadada flani na Masters zao ila nafikir wapo wanawake rare breed ambao ni career ladies wenye nidhamu za kimke
Amen to that. Umestate vizuri sana.Ushawahi kujiuliza ukifa nani atalea familia yako?
Ofcourse wanawake wasomi na wenye kazi wengi wao kwenye swala zima la mahusiano uwaga wajinga wajinga hivi hawajui na wana kibri hatukatai.
Mi nadhani kazi na elimu sio kigezo cha mke mwema kabisaaaaaaa.
Kikubwa ni kufungua biashara ambayo mke anakuwa msimamizi na ww msimamizi mkuu ila lzm mke ajifunze kutafuta pesa hata km sio kwa kufanya kazi basi biashara.
Kwa maisha ya sasa lzm mke na mume wafanye kazi km team kwenye kila nyanja ingawa kwa approach hii lzm huo a mke wakueleweka.
Hebu niunganishie mmoja wapo aseeWiselly said, yani ni wachache sanaaa. Kazin kwetu kuna wadada wawili na masters zao nawaona wanaisogelea meno pause na hakuna hata engagement ya kuigiza.
Mivutano ukifa kivipi?ndo umeshaambiwa mwanaume tafuta maisha uijengee familia yako mazingira mazuri ukiwa haupo!Nyie ndio type ya wanaume mnauouliwa na wake zenu ili wake zenu wapate kujimilikisha mali na uhuru wa kudinywa!
Mwache awe na input itapunguza mivutano ukifa.
(ndugu zako VS mkeo)
Ndo maana ndo za wazee wetu zilidumuAlafu mkuu sida siyo kufanya kazi, tatizo ni wakianza kupata vipesa, dharau zinaanza, atataka arudi saa sawa na wewe mkula home, mzigo hakuna ati kachoka, hatimizi kilichomleta ndoani, wazee wetu walikuwa na akili sana ,.