inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
Jakaya Mungu wako?????????????????????? acha ujinga
Hiyo tafiti ya akili imefanyika wapi?
Tunaoa wanawake tuliowapita umri sababu wanawake wakizaa wanawahi kuchoka/kuzeeka
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya wanandoa kutalakiana. Mwanaume anapooa mwanamke wa rika lake, hapo hajaoa mke bali mshirika aliyemzidi kiakili, kiubunifu na mengineyo.
Itakuwa bora kama anayetarajia kuoa au kuolewa atafute aliyepishana naye kwa miaka ikipungua sana 10.(mume amzidi mke)
Mambo ya ushugadaddy na ushugananny waachie masharobaro!
Thats veryyyyyy true, tena sio umri tu, umpite na pesa na elimu pia.
Haha..nilijua tu utaongezea vya kwako ukipita hapa.
kuwa na adabu...ungesumbua akili yako japo kidogo,nimeweka mfano wa jakaya sababu wengi wetu tumemuona akiwa na mkewe,na hiyo tofaut ya umri haionekani,tatizo tuition zimewaharibu kuchambua jambo imekua tabu kizazi nyie...kajinga kamoja!
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya wanandoa kutalakiana. Mwanaume anapooa mwanamke wa rika lake, hapo hajaoa mke bali mshirika aliyemzidi kiakili, kiubunifu na mengineyo.
Itakuwa bora kama anayetarajia kuoa au kuolewa atafute aliyepishana naye kwa miaka ikipungua sana 10.(mume amzidi mke)
Mambo ya ushugadaddy na ushugananny waachie masharobaro!
kuwa na adabu...