Ujane wa kujitafutia huo..anipite miaka 10+ si janga hilo..No Way.
hiyo ni range ya kawaida kabisa, nadhani ukikua utajionea mwenyewe.
Kawaida kwa nani..
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya wanandoa kutalakiana. Mwanaume anapooa mwanamke wa rika lake, hapo hajaoa mke bali mshirika aliyemzidi kiakili, kiubunifu na mengineyo.
Itakuwa bora kama anayetarajia kuoa au kuolewa atafute aliyepishana naye kwa miaka ikipungua sana 10.(mume amzidi mke)
Mambo ya ushugadaddy na ushugananny waachie masharobaro!
Ujane wa kujitafutia huo..anipite miaka 10+ si janga hilo..No Way.
Jakaya Mungu wako?????????????????????? acha ujingajakaya kamuacha salma miaka 12+
Mkuu acha uongo... acha kuongea vitu ambavyo haujawai ku experience....
Nakupa wimbo ukasikilize umeimbwa na marehemu aliyah unaitwa "Age is just a number"
So U thnk I dont know the song?
Nitakupatia mfano. Angalia your age mates(kama uko above 20) na uniambie wako wapi, wako na watoto wangapi. Na wewe?
Ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli wa mambo.