Ushauri wa bure: Lowassa anzisha chama chako!

Ushauri wa bure: Lowassa anzisha chama chako!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,563
Reaction score
28,524
Huyu nguli wa kisiasa Edward Ngoyai Lowassa anasumbuliwa sana tena sana na ndoto yake ya urais. Wattu wa aina mbali mbali wametembea kwa miguu, bodaboda na kwa ndege kwenda " kumshawishi" agombee urais kwa tketi ya CCM.

Sasa kama kiongozi yuko opular kihivyo na anafanyiwa mizengwe katika kutimiza azma ya " ndoto" yake kwa nini asianzishe chama chake a.k.a Zitto Kabwe? Mara Lowassa kafungiwa kufunua mdomo, mara anapiga kampeni , kwa nini usikate mzizi wa fitna?

Au ni ukweli usiopingika kuwa bila CCM Lowassa is dead meat!
 
ccm wakimpitisha lowassa hakuna haja ya kupiga kampeni,anapita bila kupingwa.wananchi wanamkubali sana
 
Lowassa hana chama zaidi ya CCM tutapambana humo humo mpaka kieleweke
 
lowasa ndani ya ccm ni sawa na samaki ndani ya maji, ukimtoa kwenye maji hawezi kuishi tena.
 
Hili kuinusuru CCM yasije yakatokea yaliyoikuta KANU Kenya ni busara kipenzi cha wengi mh Edward N Lowassa apewe bendera ya chama aipeperushe bara na visiwani.
 
Hili kuinusuru CCM yasije yakatokea yaliyoikuta KANU Kenya ni busara kipenzi cha wengi mh Edward N Lowassa apewe bendera ya chama aipeperushe bara na visiwani.

Huyu ndugu ana mtaji wa pesa tu na ssi mtaji wa kisiasa.
Bila CCM hapati hata panzi wa kumshawishi agombee!
 
Huyu ndugu ana mtaji wa pesa tu na ssi mtaji wa kisiasa.
Bila CCM hapati hata panzi wa kumshawishi agombee!

Mkuu masopakyindi mwaka huu lolote linaweza kutokea kama CCM hatukufanya maamuzi sahihi.Nia kuu ya chama chochote ni kushika dola.Uchaguzi unaokuja tuangalia rais,wabunge wengi na madiwani.Mtaji mkubwa wa kura za urais CCM ni EL hilo halina ubishi wala chembe ya wasiwasi.
 
Last edited by a moderator:
Kama uyu jama ana mwaga pesa kipindi iki kabla ya kampen jiulize ww mtanzania uyu jama atacompasate vp pesa Bila Shaka lazima ataihujumu nchi hafai kuwa raisi km ndoto zake n kuwa prsdnt akawaongoze wamasai uko kwake
 
Huo u"sugu" alikusugua wapi?

Angekuwa ni mtu anayeweza hata kunyanyua kikombe cha chai ningekasirika ila kwa huyo ni sawa na kuniambia nitapigwa kofi na maiti. Kama mnataka kufanyia msiba Ikulu muombeni Jakaya kabla hajaondoka amuhifadhi mauti wenu Lowassa hata masaa mawili mfanye matanga kisha mrudi naye ujerumani akachomwe sindano zake.
 
Nini kikombe! hata huo ungo wako anaweza kuuvunja si kuunyanyua tu.
 
Ili kusafisha nyota yake, EL inampasa akiri mbele ya watanzania ni nani wahusika wakuu au walio nyuma ya pazia la ufisadi wa DOWANS.
 
Back
Top Bottom