Ushauri wa bure: Lowassa anzisha chama chako!

Ushauri wa bure: Lowassa anzisha chama chako!

Wagombea wengine Tatizo nyota

Hata EL nyota yake ilififia wakati wa sakata la DOWANS. Ni wakati muafaka kwake kuwaeleza watanzania ni nani wahusika wakuu wa ufisadi ule, vinginevyo hamna kitu.
 
Huyu nguli wa kisiasa Edward Ngoyai Lowassa anasumbuliwa sana tena sana na ndoto yake ya urais. Wattu wa aina mbali mbali wametembea kwa miguu, bodaboda na kwa ndege kwenda " kumshawishi" agombee urais kwa tketi ya CCM.

Sasa kama kiongozi yuko opular kihivyo na anafanyiwa mizengwe katika kutimiza azma ya " ndoto" yake kwa nini asianzishe chama chake a.k.a Zitto Kabwe? Mara Lowassa kafungiwa kufunua mdomo, mara anapiga kampeni , kwa nini usikate mzizi wa fitna?

Au ni ukweli usiopingika kuwa bila CCM Lowassa is dead meat!

Mpaka kipate kibali atachelewe kupata urais.
 
Ameshakaribishwa ACT kwani hajaenda huko mapema.
 
Ili kusafisha nyota yake, EL inampasa akiri mbele ya watanzania ni nani wahusika wakuu au walio nyuma ya pazia la ufisadi wa DOWANS.

Hilo lishapita na si mtsji wa kisiasa.
Ila akianzisha chama chake tutsona sera zake endelevu za kumkomboa mtanzania.
Akiingia tu kwenye historia watammaliza, akazane kuganga yajayo kwa faida ya watanzania.
 
Hili kuinusuru CCM yasije yakatokea yaliyoikuta KANU Kenya ni busara kipenzi cha wengi mh Edward N Lowassa apewe bendera ya chama aipeperushe bara na visiwani.

Raisi kamwe hatatoka kaskazini By Rii Z mOja kikwetu....wakati wa uchaguzi wa UVCCM
 
Back
Top Bottom