ushauri wa bure kwa Zitto Kabwe


B

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
381
Likes
119
Points
60
B

baba anjela

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2013
381 119 60
Zitto kuwa mwanasiasa aliyekomaa yanayotokea Kigoma na kwengine kote kama ungekuwa ni mwanasiasa mwenye busara ungeyakemea na kuwashauri wafuasi wako wakae kimya wakisubiri matokeo. Sikuzote haki ya mtu hapotei,
ila kukaa kimya ni ishara unafuraishwa na yote yanayoendelea kutokea na kutupa maswali ya kujiuliza kama umeusika kuyaratıbu hayo yote au ni mkono wa ccm.Jitaidi kutuonyesha kwa vitendo kuwa unaipenda chadema na utakuwa wa mwisho kuondoka chadema.unazidi kujıchafua mkubwa.
 

Forum statistics

Threads 1,250,628
Members 481,419
Posts 29,739,349