luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,205
- 1,659
Mkuu lakini kuna wamba pesa zao aziendagi bure kwa mademu
Unamaanisha Nini?Mkuu lakini kuna wamba pesa zao aziendagi bure kwa mademu
Sina cha kumwambia huyo binti zaidi ya pole.Awe makini mara nyingine.Watakuja kumuua,kumpa ulemavu na hata magonjwa hatari.Na hao wabakaji wasidhani hiyo ni sifa njema.Wataambukizwa magonjwa ya ngono/zinaa hadi watembee wametanua miguu kama wametoka jandoni.Msera anasema yani alichomfanya uyo demu awezi sahau maana alikua na uchungu nae akaona ampe pigo kubwa,demu kaingia getto Kawa mateka kapigwa Mande na wamba kama wote ilikua Mida ya asubuhi, demu katolewa jioni anatia huruma hata chakula ajapewa tangu asubuhi.
Walivaa Condom? na uwashauri baada ya miezi kadhaa wakapime.Msera anasema yani alichomfanya uyo demu awezi sahau maana alikua na uchungu nae akaona ampe pigo kubwa,demu kaingia getto Kawa mateka kapigwa Mande na wamba kama wote ilikua Mida ya asubuhi, demu katolewa jioni anatia huruma hata chakula ajapewa tangu asubuhi.
wamemfanyaje wahuni?Hapa ni shauri mbalimbali kwa wakina dada
Mimi ushauri wangu kama wewe mwanamke haupo tayari kulala na mwanaume chonde chonde usimlie pesa zake,
Nimeshuudia hapa jirani mdada yamemkuta mambo mazito baada ya kula hela za msera hafu akawa anagoma kutoa mzigo.
Mande hainaga kondomuWalivaa Condom? na uwashauri baada ya miezi kadhaa wakapime.
Hiyo Ni kesi mbna dad Yule akipata mpellezi mzuri anashinda hyo kesi ya kupigwa mtungiMsera anasema yani alichomfanya uyo demu awezi sahau maana alikua na uchungu nae akaona ampe pigo kubwa,demu kaingia getto Kawa mateka kapigwa Mande na wamba kama wote ilikua Mida ya asubuhi, demu katolewa jioni anatia huruma hata chakula ajapewa tangu asubuhi.
Mnapotoa vitu muwage mnasema mapema sasa Ni kwamba ajili ya hiki na hiki,kukataliwa Mbona sio dhambi chief[emoji4]Hakuna cha bure