Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Si unacheka nini? Umeanza kunidharau?
Si unacheka nini? Umeanza kunidharau?
Zari kweny game hayupo anabust shape ila wapi washikadau kibao wanamuona takataka kama hujui..Sasa anahonga vijana wadogo ndo wanatoka nae huyo Diamond amauona zari hamna kitu ni hao watoto tu..Thread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.
Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.
Kuoa iweke kama ni involuntary action tu kwamba ikatokea mpaka ukampenda na wazo la ndoa likaja automatically ndo uoe ila sio kujipa presha ya umri ..Zote hizo ni illusion
Binafsi Mimi sipo tiyari kumsaidia Mwanamke hata Alie machozi ya damu
Na sipo tiyari kuoa
Mimi ntasaidia Yatima tu
Age is nothing but a numberKuoa iweke kama ni involuntary action tu kwamba ikatokea mpaka ukampenda na wazo la ndoa likaja automatically ndo uoe ila sio kujipa presha ya umri ..
Sinaga hata chembe ya dharau.Si unacheka nini? Umeanza kunidharau?
Uko sahh kuna bibi mtaani kwetu n mrembo hatar mpaka huwa najiulza huyu enz za 18-30 alikuwaje,.pesa ipo..Thread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.
Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.
Shida yote hii ni ya nini mkuu!..?Binafsi
nikimtaka mwanamke siangalii ushindani Wala nn, ntapambana Kwa gharama yoyote ile mpk nimpate ndo nafs yangu itulie
Ujue kila mwanamke ana madhaifu yake linapokuja suala zima la kutongozwa, ukiyatafuta ukayajua ka inakua imeisha.
Mf:
1. kama Yuko desperate na pesa,
ntampa pesa
2.kama pesa anazo na zinampa jeuri, namfilisi ili arudi kua na shida na pesa anitafute tukae karibu
3. kama yuko desperate na kazi, ntampa kazi ili kumpata. Akileta jeuri namharibia ili anitafte Tena
4. Kama Kuna mahusiano amekolea yanamuweka bize, natafuta madhaifu ya jamaa, nawachonganisha wagombane.
Afu naingia katikati ya mgogoro wao kwa kujiweka karibu uku nikiboresha kasoro za bwana ake anione ni Bora amsahau kabisa jamaa.Mwisho wa siku binti anahamisha kabisa hisia kwangu. Jamaa anapokonywa tonge.
Mifano Ni mingi mno,
Ila nnachoamini mwanaume huwezi kuishiwa mbinu bhana, vinginevyo hauko serious au hujiamini.
Yeap nakubal sanaThread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.
Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.