Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,232
- 26,753
Kikojoleo.....
Mtuonee huruma tunapowaoa tukute angalau kama used car imported from Japan.
mpwa tuoneane huruma wote isiwe one way
Kikojoleo.....
Mtuonee huruma tunapowaoa tukute angalau kama used car imported from Japan.
huo ni ukweli tunajifanyaga tu kusema amenipotezea muda mara kanichezea... ni mwendo wa kuchezeana.
Kumbe huwa nanyi mnajuana kimautamu!!mmh, watu wanafaidi lakini. Plus ule mkia na.miguu, dah!
hili neno linanikera.... "wanaume wanatutumia alafu wanatuacha" utumiwe wewe umekuwa chakula?
wakati unatumiwa wewe ulikuwa unafanyeje?
sema TUMETUMIANA TUKAKOSEANA TUKAACHANA..
2. Hutaki mwenzio atoke nje ya mahusiano kwa sababu ya wivu au magonjwa?
kama magonjwa huko nje si tunatumia kinga? narudi kwako bila kukuletea magonjwa.. shida ni nini?
mpwa tuoneane huruma wote isiwe one way
Kuna umri mwanamke hatakiwi kuwa na mtu ambaye hawana malengo ya kuishi pamoja.
Kuna umri mwanamke hatakiwi kuwa na mtu ambaye hawana malengo ya kuishi pamoja.
umri gani?????
mambo ya kuchezewa hayapogi.... watu huwa wanatafuta mere excuse tu...
Umri wowote ule utakaojisikia unahitaji kweli kuolewa........
kukaa na binti miaka kadhaa unamtooomba we halafu akifika age fulani unamtosa unachukuwa mwanamke mwingine fasta unaoa hiki nini sasa?
Kama tunatumiana kauli kama 'nimemgonga','nimemla',nimemlamba' huwa yanatoka wapi?
Kuhusu swali la pili kwa kweli mimi vyotevvyote hapo....magonjwa naogopa sana na wivu ninao sana. Yan that feeling kwamba kuna mtu anapetiwa kama mimi,anabembelezwa kama nnavyobembelezwa mimi.....daaah it makes me sick
hili neno linanikera.... "wanaume wanatutumia alafu wanatuacha" utumiwe wewe umekuwa chakula?
wakati unatumiwa wewe ulikuwa unafanyeje?
sema TUMETUMIANA TUKAKOSEANA TUKAACHANA..
2. Hutaki mwenzio atoke nje ya mahusiano kwa sababu ya wivu au magonjwa?
kama magonjwa huko nje si tunatumia kinga? narudi kwako bila kukuletea magonjwa.. shida ni nini?
huo ni ukweli tunajifanyaga tu kusema amenipotezea muda mara kanichezea... ni mwendo wa kuchezeana.
ila mwisho wa siku anaepoteza ni mwanamke...... kisa cha kuharibiwa whuchiiii!!!?