Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi

Angalizo la Uchangiaji
Naomba kuianza hii mada kwa angalizo la uchangiaji,
JF ilipoanzishwa,it was ment to be the home for great thinkers。

Simple mind discuss people
Ordinary mind discuss events
Great mind discuss idea

Mada iliyopo mezani ni NRNE,ya Chadema ,hii ni mada ya ideas ya hoja ya Chadema,if there is no reforms,there will be no election!,wenye mamlaka wanasema uchaguzi upo,Chadema wanahamsisha watu bila mabadiliko,wasishiriki uchaguzi,hivyo kama watu wote wataitikia then siku ya uchaguzi watakinukisha na uchaguzi hautafanyika! . Hii ni hoja ya great mind!

Simple mind wao badala ya kujadili hoja iliyopo mezani,wao watajadili watu!,watamjadili mtoa mada。

Ordinary mind wao watajadili event ya nyomi za watu kuhudhiria mikutano ya NRNE

Great mind,wao watajadili hoja iliyopo mezani,wataujadili ushauri uliotolewa na ama kusubiria kushangaa jinsi wananchi watakavyo jitokeza kushiriki uchaguzi siku ya uchaguzi,au kama ni kweli watajitokeza kukinukisha!。

Licha ya Tofauti Zetu Wana。JF tu Wamoja
Wanajf, pamoja na tofauti zetu za kisiasa kiuchumi na kijamii, we are one family,tuna upendo wa kifamilia, wana CCM wanawashauri wana Chadema na vice versa!kitu muhimu ni upendo,wana jf tupendane,tuheshimiane,tushirikiane,tujadiliane kwa lugha la staha,tusitukanane,tutangulize mbele uzalendo kwa maslahi ya taifa letu。

Ukiona mwenzako anapotea na ataangamia,ni upendo unakusukuma kumsaidia,kumuelimisha kuhusu upotovu aliomo na kumrudisha kwenye line,asipotee,asiangamie!。Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Kupitia bandiko hili la Mkuu Mshana JrWakuu jaribuni basi ku balance mzani
Nimenote watu wanahamanika sana na hizi nyomi za makundi ya watu kwenye mikutano ya NRNE,hivyo kujipa matumaini kuwa somo la NRNE,limewaingia Watanzania,hivyo wataiunga mkono Chadema kwa kususia uchaguzi na siku ya uchaguzi watajitokeza kwa wingi hivi hivi kukinukisha uchaguzi usifanyike ili iwe kweli hakuna uchaguzi!

Huu ni ushauri wangu wa bure kwa ndugu zangu,jamaa zangu na rafiki zangu wa Chadema wakiwemo wafuasi wao na wananchi wengine wote kawaida,wanaohamanika na NRNE,kwanza nawatia moyo kuendelea ku fight for a good cause, kupigania mabadiliko,keep “hope for the best”,kuwa changes zitafanyika kabla ya uchaguzi mkuu,na mimi naomba kujitanabaisha wazi kuwa hitaji la mabadiliko madogo kabla ya uchaguzi mkuu ni verygenuine demands,na mimi nimepandisha mabandiko lukuki nikisisitizia umuhimu wa minimum reforms za katiba kabla ya uchaguzi!。
Ila hoja ya kuzuia uchaguzi usifanyike ni hoja ambayo haitekelezeki,mimi nimeiita utopia sio tu nimeiandikia sana, bali pia nimewaeleza Chadema jinsi Tundu Lissu alivyo fursa kwa uchaguzi mkuu wa October 2025 hata bila ya reforms Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
Kufuatia hoja ya NRNE kupata positive response kila wanapopita,hii inapelekea watu kuhamanika,kuwa watu hawatajitokeza!

Hili ni bandiko la kuwaandaa kisaikolojia wawe tayari kupokea matokeo halisi ya ukweli kwa ku get prepared for the worst!,msihamanike sana kwa kudanganywa na hizi nyomi za makundi ya watu!,hakuna mwanasiasa aliyekuwa na nyomi za makundi ya watu kama Lyatonga Mrema ile 1995 na Edward Lowassa ile 2015,lakini walikuja kushangaa!Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Kuna watu wakiona nyomi za NRNE,wanadhani ndio kuungwa mkono!,hakuna nyomi kubwa kama ya Lowassa ile 2015 Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?
na bado alipigwa chini!。

Vivyo hivyo,msibabaishwe na hizi nyomi za NRNE, mtashangaa!,pale mtakapo shuhudia hakuna Mtanzania atakayesusia kushiriki uchaguzi ile October,hivyo kujikuta kumbe mlikuwa mkitwanga maji kwenye kinu!

Najua kuna watu mtanichukia,ila mtu anaye waambia ukweli mchungu,ndie mtu anayewapenda kwa dhati!,kwasababu ukipania sana huku umehamanika sana,ukikikosa ulichopania,utaumia sana,lakini kama umeandaliwa kabla kupokea maumivu,ukiyapokea huku umejiandaa,hayauimizi sana kama kudungwa sindano,itaingia huku unaona,utavumilia!
Je asili inachukua mkondo wake? Does nature taking its cause!?💪🏿✌🏿
Tulipofika ni A point of no return.. Na hakuna nguvu inayotumika bali mambo yanaenda yenyewe.. Very natural.. Very automatically..!

Ni wakati wa mabadiliko na hakuna nguvu ya kibinadamu kuizuia. ndivyo hivyo navyo CHADEMA inavyoenda kuchukua nchi

Sijui mnanielewa?
Good morning TANGANYIKA,💗
Mkuu Mshana Jr ,tumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people play,1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na Lyatonga,2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.

The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjani,the game inachezwa mezani!。

Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhati,kaitisha timu zote zikae mezani,tujadili kwa pamoja the rules of the game,watu mkakataa!,akina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezo,tukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'!。Tukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? 。 Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyana,akatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwa,bali pia mapene mkavutishwa,mkamwagiwa!,ndipo mkakaa mezani!,mkakubaliana kugawana nusu mkate,mambo yalikuwa yanakwenda safi!

Mara Mbelgiji katua nchini akawavuruga!,sisi watu wa jicho la tatu takaona, tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Sumu ikawaingia,mara Kamanda akatangaza kukosa imani,na kujuta kukaa mezani, sisi watu wa ushauri,tukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa ,jamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zangu!,ama zao,ama zetu!,mimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wangu,sikuamini kama TAL angeshinda!hivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Najivunia kuchangia kufanyika uchaguzi wa haki Chadema kupitia onyo hili The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!. mara ndio pap,kamanda chali!kichaa kachukua chama,kakamata usukani,mwendo ni mzobe mzobe!

NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashiriki!,kamanda mpya katangaza vita na wenye mamlaka,kuwa bila reforms,hakuna uchaguzi!,kitu ambacho ni impossible!,sisi washauri wa bure,tukashauri tena Pre GE2025 - DSM - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati si ndio akatangaza kukinukisha,, wenye mamlaka ndio kama hivyo wameamua kumuhifadhi mahala sana kupisha uchaguzi kwa kumbambikia uhaini !,kwenye hili la uhaini, its a mistake Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Ila pia kwenye hili la uhaini, msiwe na shaka wala wasiwasi Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason! hakuna kesi hapo!。

Kwa vile the real game inachezwa mezani,na matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani , ile timu ya ushindi,tuliisha maliza kazi siku nyingi!,matokeo tayari tunayo kibindoni,uzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujua,nami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisa Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Hizi kukuru kakara zenu,ni kukuru kakara za mtu anayetafuta,bila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuu,na kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwisho!,wenzenu ni watu waliopata, ushindi tayari wanao kibindoni, wahangaikie nini?, ndio maana wametulia tuu,wamejituliza tuli ,wanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindi!

Siku hiyo ni siku ya
Unachukua。。 。
Unaweka。。。
malizia。。 。。

Paskali
 
Pascal kiufupi tumekuchoka na hizi mada zako ukishachukua tu mgao wa pombe unakuja hapakuongea ujinga ujinga

NRNE ni hoja za watu wanaojitambua na walioteswa na utawala wa CCM miaka zaidi ya 64 ya Uhuru wa Tanganyika

Sio wajinga wajinga na machawa!!

Sisi tumesema hatutashiriki uchaguzi wewe kusanya wajinga wenzio mwende kwenye uchaguzi hewa unaotumia pesa za walipa Kodi wakati uchaguzi hakuna ??

Sisi hatufanyi biashara ya watu kila siku toka mwaka 2019 ndugu zetu wanauwawa!!

Kuna shida gani Kama mtaenda kwenye uchaguzi fake wenyewe mjipigie wenyewe namjitangaze wenyewe pia mjiapishe wenyewe?

Kwanini mnataka backup ya chadema kuhalalisha ujinga wenu?

Sisi tutafanya mikutano Kama chama Cha upinzani mpaka pale uchaguzi huru utafanyika hata iwe 2040 lakini kushiriki kuhalalisha uhuni kwa kuuza watu wetu mwaka huu mwisho!
 
Rait mimi kwa sasa ningelikuwa ndo Pascal Mayalla

Nisingejisumbua na lolote huku nikiamini kwa kujipendekeza huku, eti kuna siku CCM na Mama watanipa nafasi ya ama kuwa mbunge mahali au mkuu wa kitengo fulani,

Kwa sababu ukweli ni kwamba, Mayala Umezeeka mwenzetu, na bahati mbaya nafsi huwa haizeeki, bado hutwambia mbona mimi bado ni kijana tu,

Lakini, bwana Mayala, umezeeka mkuu

Juzi nilikuona kwa bahati mbaya live pale TBC chanel la wakongwe, kiukweli mkuu, umekuwa mhenga

Acha kujipendekeza, na uondoe mawazo ya eti bado unaweza kuteuliwa kuongoza chochote, atakayefanya hivyo, ujue hakupendi anania ya wewe upotee na presha za pilika pilika

Waachie watoto wako mkuu

Samahani ikiwa nimekuudhi
 
Mkuu Mshana Jr ,tumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people play,1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na Lyatonga,2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.

The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjani,the game inachezwa mezani!。

Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhati,kaitisha timu zote zikae mezani,tujadili kwa pamoja the rules of the game,watu mkakataa!,akina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezo,tukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'!。Tukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? 。 Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyana,akatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwa,bali pia mapene mkavutishwa,mkamwagiwa!,ndipo mkakaa mezani!,mkakubaliana kugawana nusu mkate,mambo yalikuwa yanakwenda safi!

Mara Mbelgiji katua nchini akawavuruga!,sisi watu wa jicho la tatu takaona, tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Sumu ikawaingia,mara Kamanda akatangaza kukosa imani,na kujuta kukaa mezani, sisi watu wa ushauri,tukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa ,jamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zangu!,ama zao,ama zetu!,mimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wangu,sikuamini kama TAL angeshinda!hivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Najivunia kuchangia kufanyika uchaguzi wa haki Chadema kupitia onyo hili The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!. mara ndio pap,kamanda chali!kichaa kachukua chama,kakamata usukani,mwendo ni mzobe mzobe!

NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashiriki!,kamanda mpya katangaza vita na wenye mamlaka,kuwa bila reforms,hakuna uchaguzi!,kitu ambacho ni impossible!,sisi washauri wa bure,tukashauri tena Pre GE2025 - DSM - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati si ndio akatangaza kukinukisha,, wenye mamlaka ndio kama hivyo wameamua kumuhifadhi mahala sana kupisha uchaguzi kwa kumbambikia uhaini !,kwenye hili la uhaini, its a mistake Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Ila pia kwenye hili la uhaini, msiwe na shaka wala wasiwasi Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason! hakuna kesi hapo!。

Kwa vile the real game inachezwa mezani,na matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani , ile timu ya ushindi,tuliisha maliza kazi siku nyingi!,matokeo tayari tunayo kibindoni,uzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujua,nami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisa Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Hizi kukuru kakara zenu,ni kukuru kakara za mtu anayetafuta,bila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuu,na kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwisho!,wenzenu ni watu waliopata, ushindi tayari wanao kibindoni, wahangaikie nini?, ndio maana wametulia tuu,wamejituliza tuli ,wanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindi!

Siku hiyo ni siku ya
Unachukua。。 。
Unaweka。。。
malizia。。 。。

Paskali
Binafsi sioni kama chadema itashinda hata kama ingesaini hizo kanuni za uchaguzi na hata ingekuwa tume huru wanayoitaka wao still wasingeweza kushinda ila kwakuwa washajua hawawezi kushinda ndio maana wamekuja na slogan yao yakipuuzi ya NRNE.Na hii ndio Tanzania yetu au ndio uswahili wetu watu hutafuta sababu pale wanapoona opponent ni stronger than them kwahiyo sishtuki wala sibabaiki na huo upuuzi wao
 
Ni hatari sana Kwa umri huo kuwa Chawa na kubeza harakati za wanaumwe kelekea ukombozi

Utaendelea kupata kura moja mpaka mifumo huru ya uchaguzi itakapopatikana nchi hii
Jitahidi sana kuwekeza vizuri fedha unazozipata ukiwa kijana. Usipofanya hayo ndo utaishia kuwa toilet paper kama mleta mada.

Uzee umepiga hodi na hana chochote mfukoni anaishia kulamba miguu watawala ili wamkumbuke kwenye u dc au ubunge wa kupewa.
 
Chawa kama wewe ungeandika tofauti na haya ningeshangaa.
 
Binafsi sioni kama chadema itashinda hata kama ingesaini hizo kanuni za uchaguzi na hata ingekuwa tume huru wanayoitaka wao still wasingeweza kushinda ila kwakuwa washajua hawawezi kushinda ndio maana wamekuja na slogan yao yakipuuzi ya NRNE.Na hii ndio Tanzania yetu au ndio uswahili wetu watu hutafuta sababu pale wanapoona opponent ni stronger than them kwahiyo sishtuki wala sibabaiki na huo upuuzi wao
Ni taahira pekee anayeweza kupingana na wakati.
 
Mkuu Mshana Jr ,tumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people play,1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na Lyatonga,2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.

The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjani,the game inachezwa mezani!。

Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhati,kaitisha timu zote zikae mezani,tujadili kwa pamoja the rules of the game,watu mkakataa!,akina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezo,tukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'!。Tukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? 。 Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyana,akatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwa,bali pia mapene mkavutishwa,mkamwagiwa!,ndipo mkakaa mezani!,mkakubaliana kugawana nusu mkate,mambo yalikuwa yanakwenda safi!

Mara Mbelgiji katua nchini akawavuruga!,sisi watu wa jicho la tatu takaona, tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Sumu ikawaingia,mara Kamanda akatangaza kukosa imani,na kujuta kukaa mezani, sisi watu wa ushauri,tukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa ,jamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zangu!,ama zao,ama zetu!,mimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wangu,sikuamini kama TAL angeshinda!hivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Najivunia kuchangia kufanyika uchaguzi wa haki Chadema kupitia onyo hili The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!. mara ndio pap,kamanda chali!kichaa kachukua chama,kakamata usukani,mwendo ni mzobe mzobe!

NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashiriki!,kamanda mpya katangaza vita na wenye mamlaka,kuwa bila reforms,hakuna uchaguzi!,kitu ambacho ni impossible!,sisi washauri wa bure,tukashauri tena Pre GE2025 - DSM - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati si ndio akatangaza kukinukisha,, wenye mamlaka ndio kama hivyo wameamua kumuhifadhi mahala sana kupisha uchaguzi kwa kumbambikia uhaini !,kwenye hili la uhaini, its a mistake Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Ila pia kwenye hili la uhaini, msiwe na shaka wala wasiwasi Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason! hakuna kesi hapo!。

Kwa vile the real game inachezwa mezani,na matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani , ile timu ya ushindi,tuliisha maliza kazi siku nyingi!,matokeo tayari tunayo kibindoni,uzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujua,nami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisa Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Hizi kukuru kakara zenu,ni kukuru kakara za mtu anayetafuta,bila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuu,na kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwisho!,wenzenu ni watu waliopata, ushindi tayari wanao kibindoni, wahangaikie nini?, ndio maana wametulia tuu,wamejituliza tuli ,wanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindi!

Siku hiyo ni siku ya
Unachukua。。 。
Unaweka。。。
malizia。。 。。

Paskali
Mkuu Pasco,

Kimsingi si kweli wananchi watawatosa Chadema kwenye agenda yao ya NRNE, ikumbukwe kuwa agenda hii ya kususia uchaguzi ni ya wananchi wenyewe na walisha anza kuitekeleza kimya kimya siku nyingi bila kuhamasishwa na mtu au chama chochote.

So, Chadema wameidaka tu juu kwa juu na kujaribu kuongeza mafuta kwenye moto.

Uchaguzi Mkuu wa 2020 49.8%, yani nusu ya waliojiandikisha hawakupiga kura, hii si kususia uchaguzi?

2015 zaidi ya 33% hawakupiga kura, tena wakati huu wa JK ambao chaguzi zilikuwa hazijaharibiwa sana kwa kuenguana n.k. Je, hii si kususa?

NB: Takwimu hizi zimetolewa na serikali yenyewe baada ya kuongeza digits na kura feki kama zile za Kawe.

So, mkuu Pasco NRNE hazitozuia uchaguzi ila itaudhoofisha sana japo zitapikwa data feki ili kuonesha kutotetereka ila ujumbe utakuwa umewafikia watawala.
Screenshot_20250513_101513.jpg
Screenshot_20250513_101529.jpg
Screenshot_20250513_101621.jpg
 
Paskali una vituko sana ambavyo kwa umri wako ningekuuliza kama ujanani ilikuwa mvuta bangi.Muda mwingine jizoeshe kunyamaza tu na kuwa muangaliaji wa mambo.
Umemshauri kwa hekima sana

Tunafahamu umhimu wa Mayala hapa, ila sasa anakoelekea, ni kana kwamba anatulazimisha tumshushie heshima yake tuanze kumdharau
 
Wanabodi
Wanajf, pamoja na tofauti zetu za kisiasa kiuchumi na kijamii, we are one family,tuna upendo wa kifamilia, wana CCM wanawashauri wana Chadema na vice versa!

Ukiona mwenzako anapotea na ataangamia,unamsaidia kumrudisha kwenye line,asipotee,asiangamie!。

Kupitia bandiko hili la Mkuu Mshana JrWakuu jaribuni basi ku balance mzani
Nimenote watu wanahamanika na hizi nyomi za makundi ya watu kwenye mikutano ya NRNE,hivyo kujipa matumaini kuwa somo la NRNE,limewaingia Watanzania,hivyo wataiunga mkono Chadema kwa kususia uchaguzi!。

Huu ni ushauri wangu wa bure kwa ndugu zangu,jamaa zangu na rafiki zangu wa Chadema wakiwemo wafuasi wao na wananchi wengine wote kawaida,wanaohamanika na NRNE,kwanza nawatia moyo kuendelea ku keep “hope for the Best,kuwa changes zitafanyika kabla ya uchaguzi mkuu,na mimi naomba kujitanabaisha wazi kuwa hitaji la mabadiliko madogo kabla ya uchaguzi mkuu ni verygenuine demands,na mimi nimepandisha mabandiko lukuki nikisisitizia umuhimu wa minimum reforms za katiba kabla ya uchaguzi!。

Ila hoja ya kuzuia uchaguzi usifanyike ni hoja ambayo haitekelezeki,mimi nimeiita utopia pia nimeiandikia。

Kufuatia hoja ya NRNE kupata positive response kila wanapopita,hii inapelekea watu kuhamanika,kuwa watu hawatajitokeza!

Hili ni bandiko la kuwaandaa kisaikolojia wawe tayari kupokea matokeo halisi ya ukweli kwa ku get prepared for the worst!,msihamanike sana kwa kudanganywa na hizi nyomi za makundi ya watu!,hakuna mwanasiasa aliyekuwa na nyomi za makundi ya watu kama Lyatonga Mrema ile 1995 na Edward Lowassa ile 2015,lakini walikuja kushangaa!。

Vivyo hivyo,msibabaishwe na hizi nyomi za NRNE, mtashangaa!,pale mtakapo shuhudia hakuna Mtanzania atakayesusia kushiriki uchaguzi ile October,hivyo kujikuta kumbe mlikuwa mkitwanga maji kwenye kinu!

Najua kuna watu mtanichukia,ila mtu anaye waambia ukweli mchungu,ndie mtu anayewapenda kwa dhati!,kwasababu ukipania sana huku umehamanika sana,ukikikosa ulichopania,utaumia sana,lakini kama umeandaliwa kabla kupokea maumivu,ukiyapokea huku umejiandaa,hayauimizi sana kama kudungwa sindano,itaingia huku unaona,utavumilia!

Mkuu Mshana Jr ,tumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people play,1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na Lyatonga,2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.

The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjani,the game inachezwa mezani!。

Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhati,kaitisha timu zote zikae mezani,tujadili kwa pamoja the rules of the game,watu mkakataa!,akina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezo,tukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'!。Tukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? 。 Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyana,akatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwa,bali pia mapene mkavutishwa,mkamwagiwa!,ndipo mkakaa mezani!,mkakubaliana kugawana nusu mkate,mambo yalikuwa yanakwenda safi!

Mara Mbelgiji katua nchini akawavuruga!,sisi watu wa jicho la tatu takaona, tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Sumu ikawaingia,mara Kamanda akatangaza kukosa imani,na kujuta kukaa mezani, sisi watu wa ushauri,tukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa ,jamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zangu!,ama zao,ama zetu!,mimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wangu,sikuamini kama TAL angeshinda!hivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Najivunia kuchangia kufanyika uchaguzi wa haki Chadema kupitia onyo hili The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!. mara ndio pap,kamanda chali!kichaa kachukua chama,kakamata usukani,mwendo ni mzobe mzobe!

NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashiriki!,kamanda mpya katangaza vita na wenye mamlaka,kuwa bila reforms,hakuna uchaguzi!,kitu ambacho ni impossible!,sisi washauri wa bure,tukashauri tena Pre GE2025 - DSM - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati si ndio akatangaza kukinukisha,, wenye mamlaka ndio kama hivyo wameamua kumuhifadhi mahala sana kupisha uchaguzi kwa kumbambikia uhaini !,kwenye hili la uhaini, its a mistake Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Ila pia kwenye hili la uhaini, msiwe na shaka wala wasiwasi Pre GE2025 - Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason! hakuna kesi hapo!。

Kwa vile the real game inachezwa mezani,na matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani , ile timu ya ushindi,tuliisha maliza kazi siku nyingi!,matokeo tayari tunayo kibindoni,uzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujua,nami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisa Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Hizi kukuru kakara zenu,ni kukuru kakara za mtu anayetafuta,bila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuu,na kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwisho!,wenzenu ni watu waliopata, ushindi tayari wanao kibindoni, wahangaikie nini?, ndio maana wametulia tuu,wamejituliza tuli ,wanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindi!

Siku hiyo ni siku ya
Unachukua。。 。
Unaweka。。。
malizia。。 。。

Paskali
Nccr mwaka 1995 ,ilisusia uchaguzi ?

mkubwa sometimes unazingua sana
 
Wakuu Pasco na Mshana Jr , nyote nimewasoma vizuri.

Kimsingi si kweli wananchi watawatosa Chadema kwenye agenda yao ya NRNE, ikumbukwe kuwa agenda hii ya kususia uchaguzi ni ya wananchi wenyewe na walisha anza kuitekeleza kimya kimya siku nyingi bila kuhamasishwa na mtu au chama chochote.

So, Chadema wameidaka tu juu kwa juu na kujaribu kuongeza mafuta kwenye moto.

Uchaguzi Mkuu wa 2020 49.8%, yani nusu ya waliojiandikisha hawakupiga kura, hii si kususia uchaguzi?

2015 zaidi ya 33% hawakupiga kura, tena wakati huu wa JK ambao chaguzi zilikuwa hazijaharibiwa sana kwa kuenguana n.k. Je, hii si kususa?

NB: Takwimu hizi zimetolewa na serikali yenyewe baada ya kuongeza digits na kura za maruhani kama zile za Kawe.

So, mkuu Pasco NRNE hazitozuia uchaguzi ila itaudhoofisha sana. Japo zitapikwa data feki ili kutoonesha kutotetereka ila ujumbe utakuwa umewafikia watawala.
View attachment 3332389View attachment 3332392View attachment 3332395
Changamoto(Siyo tatizo.Tafizo haliondoki kirahisi)ya Paskali ni ubinafdi/self-centeredness na kufikiri kwenye boksi kwamba anajua kila kiatu kinavyombana aliyekivaa kwa hisia tu.Kituko sana.
 
Back
Top Bottom