Ushauri wa bure kwa vyama vya siasa hasa CHADEMA


F

Fenb

Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
17
Points
0
F

Fenb

Member
Joined Oct 18, 2012
17 0
Vyama vya siasa mnatakiwa kuwa makini sana na hawa watu wanaokosa madaraka na kuhamia chama cha siasa kingine. Mara nyingi hao watu hawapo kwa maslahi ya Wananchi, wapo kwa maslahi yao binafsi. Mfano mzuri ni Shibuda. Kwa mtu yeyote anayefuatilia siasa utagundua tu yule mtu si kwa ajili ya maslahi ya wananchi ni kwa maslahi yake binafsi na kutaka madaraka makubwa ambayo hana uwezo nayo.
Naomba kutoa mfano pia wa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma. Huyu bwana sio mwanasiasa ambaye ana uchungu na watu wake. Wakati anagombea ubunge Kigoma mjini chini ya CHADEMA alikuwa gumzo kiasi kwamba wafuasi wa CHADEMA waliteseka sana, waliachana na waume na wake zao, Walivunjwa miguu na mateso mengine mengi sana, lkn alivyokosa madaraka, CCM wakamshawishi na kumuahidi madaraka then akahamia CCM! Sasa nauliza Je huyu alikuwa anataka madaraka kuwasaidia wananchi au kwa maslahi yake binafsi? Ur welcom
 
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
1,371
Points
1,225
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
1,371 1,225
refer to the "democracy"
 
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
216
Points
0
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined Sep 20, 2010
216 0
Huyo wa kigoma mbona chamtoto.
Mbona kuna mwenyekiti mwengine wa mkoa kiwanda chake cha kutengeneza madawa kina kashfa ya kuiuzia serikali ARV feki.
Huyu ana maslai ya namna gani na wananchi?
 
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
hujui maana ya demokrasia. you wrote pumba.
 

Forum statistics

Threads 1,296,621
Members 498,672
Posts 31,254,017
Top