Ushauri wa Bure kwa Viongozi CHADEMA mwaka 2013

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Natumia utanzania wangu kutoa rai kwa uongozi wa CHADEMA makao makuu, huu mwaka waje na mbinu zingine zenye kuleta tija kwa watanzania; waachane na mbinu ya kutumia maandamano kama silaha ya kueneza chama. Maandamano yanarudisha nyuma jitihada za wananchi kujihusisha na shughuli za utafutaji ridhiki. Chonde chonde CHADEMA mwaka huu uwe ni wa matumizi ya siasa za kistaarabu majukwaani, huku mkiachana na maandamano.
 
Unaujua ustaarabu wewe?? au unachanganya kati ya ustaarabu, unyonge na uoga
 
Ccm naomba mwaka huu muache kutumia vichaa kutukana watu majukwaa yenu
 
Ushauri wako mpelekee alie kutuma

Natumia utanzania wangu kutoa rai kwa uongozi wa CHADEMA makao makuu, huu mwaka waje na mbinu zingine zenye kuleta tija kwa watanzania; waachane na mbinu ya kutumia maandamano kama silaha ya kueneza chama. Maandamano yanarudisha nyuma jitihada za wananchi kujihusisha na shughuli za utafutaji ridhiki. Chonde chonde CHADEMA mwaka huu uwe ni wa matumizi ya siasa za kistaarabu majukwaani, huku mkiachana na maandamano.
 
@mafilifili au kikwetuni mafunza funza, ushauri wako siyo sahihi. Maandamano ni haki ya chama cha siasa kufanya, hebu lipe na Jeshi la Polisi kuacha kuua.
 
Natumia utanzania wangu kutoa rai kwa uongozi wa CHADEMA makao makuu, huu mwaka waje na mbinu zingine zenye kuleta tija kwa watanzania; waachane na mbinu ya kutumia maandamano kama silaha ya kueneza chama. Maandamano yanarudisha nyuma jitihada za wananchi kujihusisha na shughuli za utafutaji ridhiki. Chonde chonde CHADEMA mwaka huu uwe ni wa matumizi ya siasa za kistaarabu majukwaani, huku mkiachana na maandamano.

Nitawashanga viongozi wa Chadema kuufikiria ujumbe wa kipuuzi kama huu. Najua mnaumia sana na wananchi kujitambua na kuwatosa; sasa 2013 ndiyo official year ya Peoples Power stay tuned.
 
Mi ningependa kuwashauri ccm wawaondoe viongozi wote wanaotumia masabari kufikiri! Mfano mwigulu na Lusinde.
 
Dah, haya mkuu kwa ushauri usiokubalika!
 
best combination -- attacking system; two strikers upfroant - HAMTOKI CDM 2013 :becky:

Mwigulu atapewa Malaya ajiliwaze; Nape atapewa Karolite ajipodoe mchezo umekwisha.
 
Natumia utanzania wangu kutoa rai kwa uongozi wa CHADEMA makao makuu, huu mwaka waje na mbinu zingine zenye kuleta tija kwa watanzania; waachane na mbinu ya kutumia maandamano kama silaha ya kueneza chama. Maandamano yanarudisha nyuma jitihada za wananchi kujihusisha na shughuli za utafutaji ridhiki. Chonde chonde CHADEMA mwaka huu uwe ni wa matumizi ya siasa za kistaarabu majukwaani, huku mkiachana na maandamano.
Mafilili, tulishatoa na tunaendelea kutoa ushauri wa bure kwa watu wenye mawazo mgando kama wewe, lengo la kujiunga JF siyo lazima uanzishe au uchangie kila mada, ni vyema ukasoma maoni ya wanajanvi ukaelimika kuliko kuonyesha uwezo wako wa kufikiria kwa kuandika pumba.

Mkuu mafilili tafadhali jibu maswali yafuatayo;
1.Unaposema siasa za ki-staarab una maana gani?
2.Maandamano ya amani yana athiri vipi utulivu uliopo nchini?
3.Mikutano ya hadhara kama vile M4C ina muathiri vipi mtanzania wa kawaida?

4.Ni kwa jinsi gani maandamano yanamzuia mtanzania kuendelea na shughuli zake za kawaida zinazo mpatia riziki?
5.Ni lini CHADEMA wamefanya maandamano ya vurugu?
6.Je katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inasemaje kuhusiana na maandamano?
7.Mwandishi wa habari David Mwangosi aliu-wawa na CHADEMA?
8.Vurugu za kupinga uchaguzi wa U-meya zilisababishwa na CHADEMA?
9.Unashauri CHADEMA wajifunze siasa za matusi za chama chenu?
10.Umetumia akili au makalio kuandika hiyo post yako?

Ukishindwa kujibu hayo maswali ni dhahiri umetumiwa. Tulisha waonya hii dhambi ya kutumiwa kama condom itawatafuna nyie na vizazi vyenu.

Watanzania hatudanganyiki hadi kieleweke!!!

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom