Ushauri wa bure kwa Shonza!

Katika mambo ya siasa unaweza kujivua nguo na watu wakakusanifu bila kujijua! Mwanasiasa aliyekomaa ni yule asiyetengeneza adui wa kudumu. Anajua leo yupo hapa lakini kesho aweza kuwa pale!
 
Juliana Shonza anao uhuru wa kuzungumza yale anayohisi anafaa...asisemwe vibaya maana kuna vyama vingi kutwa vinasema,CCM ipo busy kujenga nchi na vijana kama Juliana wapo kuwajibu wasema hovyo .

Kimsingi mtu kama Halima Mdee bangi zitampoteza.
 
hizi siasa kituko kweli. Akisemwa mdee cdm wanatetea. Akisemwa shanza ccm wanatetea. Mwisho wa siku mwamba ngoma...
 
Kachangudoa..
Wazee wa Chama Cha Majambazi wanaka-time wakashughulikie karudi mtaani kimyaaaaa
 
She is a viper snake; anamwaga sumu humu jf. Science ya propaganda, 'rudia uongo mara nyingi, itakua kweli'
 
Shonza hajiuliza hata sisi tunaotukana watu huku jf kila siku kwa ninitunatumia majina bandia?

Halafu tukimwiita malaya wa siasa anadai amedhalilishwa kijinsia. Ngoja sasa uone magamba watakavyokucharaza kama hawana akili nzuri. Ukitaka kuwajua waulize mavetrani kama akina Sophoia Simba. Anza kujifunza taarabu sasa bb mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…