Ushauri wa bure kwa Shonza!

huyu bint aitwaye juliana anatakiwa aendelezwe na kulelewa kisiasa, si wa kubezwa ni mwanamke jasiri sana
 
M nimetoka leo kwenye Ban napita tu...

yeah pita tuu maana ukitoka kwenye ban unakuwa kwenye kipindi cha uangalizi ukifanya slightly mistake permant ban inanguruma na sisi hatutaki kukukosa hapa jukwaani
 
Mkuu Patriote kama jina lako, nakupongeza kabisa kumpa darasa huyo kigoli mdogo ambaye kimaisha hajafika popote!! Kwanza huyu kalelewa na nani mtoto asiyekuwa na adabu, maisha gani aliyoishi tangu akiwa mtoto??? Naomba mwenye record ya huyu Shonza atuwekee hapa, nina wasiwasi huyu ni changudoa sio mtoto mwenye malezi ya kiutu hasa!!! Bila shaka amekuelewa kwa hiyo inabidi ajifunze jinsi ya kuishi na watu, kama alinyanyaswa kijinsia na wakubwa zake ofisini kwa nini asiende polisi akimbilie hapa kwenye jukwaa kumwaga uchafu wake??? Anabidi atulie ajifunze, aachane kabisa na siasa za Mwigulu za matusi hazitamfikisha popote!!!!
 
Anatukana mamba wakati hajavuka mto. looooooooo.
 

Mkuu una gubu kama la mume aliyekimbiwa na bi mzuri.
Wewe jali ya kwako, na pili pili ya shamba ya kuwashia nini?
 
Anatukana mamba wakati hajavuka mto. looooooooo.
Kwa maono yake anadhani keshavuka mto, anachokisahau ni kwamba huko alipo soon watakuwa chama cha upinzani pia. Ni mgeni kwenye siasa, angekuwa wa siku nyingi ndani ya siasa angekumbuka yaliyokifika chama cha KANU nchini Kenya.
 
Mkuu una gubu kama la mume aliyekimbiwa na bi mzuri.
Wewe jali ya kwako, na pili pili ya shamba ya kuwashia nini?
Haya sasa ni maneno ya kike!! Sio lazima kila hoja na wewe uweke neno. Hoja nyingine kubali kuzisoma tu sio lazma uandike kitu, kama unaona hoja huielewi pita zako tu huwezi kufutwa uanachama humu kwa kutopost kitu.

Wewe ni Juliana??? Mbona unaonekana nawe pia umeamua kuwashwa na pilipili iliyoshambani??Dah!! kweli nyani haoni ku....le
 
ni ujuha kumdhamini, azunguke nchi nzima kwa fedha za walipa kodi ili kutoa matusi kwa mpinzani wako, only juhaa can do it.
Mkuu hizo ni sera za Mwigulu na Nape kama sio wanaomwezesha angeendaje huko kote???Sera za matusi zimeletwa na hao wanaojifanya wana CCM!!! Tunaililia CCM yetu ya Mwl kweli hawa jamaa wameamua kuiuwa, kwa wizi, rushwa , ufisadi, mauwaji, dhuluma za mali za watu sasa wanaendelea za sera za matusi kwa watu!!!!

 

Mkuu Patriote, waraka huu kwa Shonza sidhani kama ni ushauri, zaidi umemsuta. Lakini nimependa kusuta huku maana hujaandika unafiki hata chembe, umesema ukweli mtupu. Huyu bidada angejifunza kutafakari harakati zake huku akizingatia nyuzi zote 360 za duara, sio anafikiria nyuzi 22.5 halafu anatenda, baadae anafikiria nyuzi 45 kisha anandelea. Staili yake hii ya kufanya mambo kisha anasubiri reaction za watu, halafu anafanya kitu kingine haitomsaidia sio tu kwenye siasa za nyumbani, bali hata kwenye siasa za majukwaani.

btw signecha yako nimeipenda.
 
ushauri ni mzuri,lakini huyu ni kahaba wa kisiasa.kama ana akili ataelewa.
 
Patriote huwa hasikii huyo dada. Kwa ushauri ambao huwa anapewa humu JF, alipaswa kuwa amebadilika. Lakini ndo hivyo tena sikio la kufa halisikii dawa. Sidhani kama mawazo yake ni kufanikiwa katika siasa kwa sababu kama ingelikuwa ni hivyo, asingekuwa anafanya hayo anayoyafanya kwa sasa, hasa hasa hilo la kutukana watu wazima!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tumuache dunia imfunze!!
 

Haloo halooo!
Mnalo, mtajuta kumfahamu Shonza
Na mtoto wa kike anamwaga razi watu wanapagawa!
Si mlimfukuza?
Ukitaka tusicomment mwandikie barua binafsi au PM.

Kunyweni juisi ya pilipili kukoleza koo!
 
"make more friends than enemies when you are growing up" kwani hujui mtakutana wapi! Hao wanaosema umeshika pabaya cdm si muda mrefu watakuacha upotee mwenyewe!
 
juliana atawamaliza mwaka huu, mliyataka wenyewe

Juliana alimaliza watu zamani siyo siku hizi. RAV zinafanya kazi yake .................. Nasikia Kanyigo watu walishaacha kupewa majina ya Juliana siku nyingi kwa vile ni balaa na mkosi. No wonder huyu naye amekuwa balaa kwa Taifa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…