Unajua tukikaa kimya anaweza akadhani watanzania wa leo tunapenda kusikia matusi ya nguoni anayoyatoa, ni vyema akajua tu kuwa vijana wa leo tunajua tunataka nini. Na yeye asijivike cheo cha kutusaidia kufanya maamuzi, we really know what we need. Hivyo asifikirie anaweza akatubadilisha kwa hoja za kijingjinga tu.Mnazidi kumpa huyu dada umaarufu.
Unajua tukikaa kimya anaweza akadhani watanzania wa leo tunapenda kusikia matusi ya nguoni anayoyatoa, ni vyema akajua tu kuwa vijana wa leo tunajua tunataka nini. Na yeye asijivike cheo cha kutusaidia kufanya maamuzi, we really know what we need. Hivyo asifikirie anaweza akatubadilisha kwa hoja za kijingjinga tu.
Watanzania hatujafunzwa kumheshimu mtu kwa kuwa amesoma sana au kwa kupata Division one, mtu wa aina hii si inamaana atakuja kuwacheka vijana wetu asilimia 60 waliopata zero form 4???? Au anataka kuwaambia nini waliopata Zero form 4??? Ndio siasa za CCM hizo????Nchi ipo kwenye msiba wa watu kupata zero afu yeye anajifanya mjuaji, ngoja wampopoe na mawe kwenye hayo majukwaa anayopanda na kutukana watu.
Tumefunzwa kumheshimu mtu kwa utu wake na sio mali/ elimu yake, sasa huyu anavyotuletea habari zisizo na kichwa wala miguu inapaswa tumpe elimu, after all akumbuke kuwa yeye ni mwanasiasa kijana anayecheza/atakayecheza siasa na karne hii sio siasa za kizamani za majitaka. Mimi nadhan ni bora angetumia muda huu kujua Katiba, Sera na Ilani ya chama chake kipya badala ya kutufundisha matusi.
please can we stop talking about her??
ahachane na mambo ya kupaka mkorogo. huko CCM si wanamuona kituko Khaaa
Ningeomba niongeze kidogo - tena kwa nia njema kabisa. Juliana, unayoyafanya sasa, hutaona madhara yake hadi giza liingie, na wakati huo utakuwa na limited options.
Hata kwenye sehemu za kazi, hakuna mtu atakuamini tena! Unaweza kudhani unapambana kwenye siasa, lakini hata nje ya siasa, reputation yako itakuhukumu. Haya ni makosa uliyofanya, na sielewi ni kwanini ulishindwa kuona mkakati uliopewa na 'watu' ulikuwa umejaa nuksi na mabalaa tele kwa maisha yako. Busara ndogo sana ilitosha kukuelekeza kwenye sera badala ya kutukana watu.
Kumbuka, money is not everything. Unaweza kuwa na hela sana lakini usiheshimike hata kidogo. Na hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu kama kutoheshika. Vipande thelathin vinavyokuzungusha nchi zima kutukana watu -tena waliokuzidi umri, ni laana ya kujitakia. You made a very poor judgement, and you may well live to regret it. Kila la kheri.
Technically umecommit plagiarism/copy right offence, jenga utaratibu wa kurecognize source pale unapotumia ideas/maneno/maandishi ya watu. Huu ni utaratibu ambao jumuiya ya wasomi na nchi mbalimbali zimekubaliana kuutumia. Ni only really fools wasioona mantiki ya huu ushauri kwenye ulingo wa siasa za karne hii.Huoni kuwa hata huko wanakuona hamnazo???Unajiwekea mazingira magumu ya kucheza siasa, Siasa sio uadui. Hiv kwa unayoyafanya hata ukiwa mbunge huko CCM kweli utaweza salimiana na hawa unaowatukana matusi ya nguoni???Hii dunia tunapita tu si vyema kujitengenezea maadui bila sababu za msingi. Mimi nadhan unahaja ya kutafakari nyendo zako, sina hakika sana kama hayo uyafanyayo ni moja kati ya vigezo vya siasa safi. You are playing dirty politics and looking for cheap popularity.ALWAYS TWO FOOLS COLLIDE.
juliana atawamaliza mwaka huu, mliyataka wenyewe