Ushauri wa bure kwa Samia Suluhu Hassan

Ushauri wa bure kwa Samia Suluhu Hassan

Ni kweli hakukuwa na sababu ya kumkamata lissu. Hii ccm ina mizizi mikubwa sana. Kuna majimbo mengi mno ni ngome ya ccm, ccm itashinda kwa wingi hata wapinzani wote waunganishe nguvu ccm itashinda tu. Hao wanaomshauri wanampa ushauri mbaya
kabisa kabisa. hata hiyo bado ana nafasi ya kurekebisha mambo yakawa sawa.
 
Nadhani kwa ushauri huu murua hapo alipo anatafuta namna ya kukiepuka kikombe hiki
 
Naunga mkono hoja na wale wenyekuskia upako wa kuiombea nchi pia waendelee kuomba, na watuombee nasis tupate mwamko na nguvu za kuimbea nchi yetu.
 
Naunga mkono hoja na wale wenyekuskia upako wa kuiombea nchi pia waendelee kuomba, na watuombee nasis tupate mwamko na nguvu za kuimbea nchi yetu.
kwenye kuiombea nchi hapo ungewaelekeza maeneo ya kuombea, ni yepi? kwa sababu katika hali ya kawaida kama kuna watu wanaotenda mabaya yanayoathiri nchi na wananchi, cha kuomba hapo ni Mungu apigane upande wa wanaoonewa tu, huwezi kumuombea dhurumati, mtekaji na muuaji ili aendelee kuua. ni kukimbilia kwa Mungu na kusema ee Mungu, ona watesi wetu wanavyowinda roho za wasio na hatia, pigana upande wetu, tuokoe. tukiomba hivyo, hakika ewe mwanadamu katika maisha yako utakua na nafuu kama utahukumiwa na wanadamu, ukiona Mungu ameingilia kati hukumu yake hautastahimili.
 
Hapo nkumwomba Mungu
1.awape ushindi maafisa wenye ushauri wenye rehema za Mungu kwa taifa letu upate kibali kwa malkia
( 1 Wafalme 12:6-11)

2. Kuomba Mungu auelekeze (1 wafalme 12:6) moyo wa malkia upate hisia za maumivu walizonazo raia.

3.Kuomba Mungu amfarakanishe na wahauri,marafiki wabaya. (Esta 7:5-7)

4.Kuharibu mipango yote yenye madhara kwa taifa iliyo sirini na iliyo wazi. ( Estha 8:5-6)
 
forced disappearances Tanzania imekuwa kwa kasi sana, na ninaamini wanaopotea wangekuwa watoto wa viongozi hii kitu ingeshakomeshwa muda mrefu sana. ninachojiuliza, hata wawekezaji wanakujaje kwenye nchi ambayo watu wanapotea namna hii? nadhani kuna umuhimu serikali iwe serious na vitu vya msingi. hili jambo linatia doa sana nchi yetu. hata watalii tu wakisikia Tanzania unaweza kupotea tu kimasihara kwa watu wanaojiita polisi, na polisi wenyewe kama kweli wanachafuliwa mbona hawakamati hao wanaojifanya mapolisi? kwanini lakini? Mungu kuna siku atatoa hukumu ya haki.
 
Back
Top Bottom