Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
wakikusikia njooo uchukue TunzooooDada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.
Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au Personality this is totally dangerous kwenye future yako Cz Asilimia kubwa ya Wanaume wenye personality nzuri hawanaga future yeyote wanaona personality is everything na anaweza kudate na Mwanamke yeyote yule cz ya Muonekano wake, na Asilimia kubwa ya Wanaume wa aina hii wanajionaga forever young kwamba hata akiwa na miaka 50 ataoa na atapata mtoto Sasa kwa dada zangu hii kitu ni Ngumu sana akishafikisha 35-40 basi kupata mimba ni probability na kuolewa na ni Probability kwanza mostly of them wanakuwa wako msongo wa mawazo na age imeenda,
Wadogo zangu wenye age ya 20-26 acheni kupoteza mda kwenye toxic relationship eti kwasababu mwanaume ana personality nzuri ni kudestroy future yako mwenyewe cz Asilimia kubwa wanaume wanaojiona chocolate Kuoa ni ngumu sana,
Bora uwe na Mwanaume Disable ila ana future na wewe na anakujali na anathamini uwepo wako kwake,
Acheni kuingia kwenye relationship kwa kuangalia Personality na Hela mwishoe Mnateseka kwenye relationship na mnakosa direction ya future yenu,
Bora upate mwanaume anayekuthamini na kukujali na Mwenye mapenzi ya dhati kwako hayo mengine hela na Personality yatakuja tuu hakuna kinachoshindikana
Umeshabamizwa uko umeona uwe public speaker[emoji1751][emoji1751] ahsante kwa ushaur wako uliojaa hisia Kali but kusema UKWELI mahusiano hayana formula[emoji119]Dada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.
Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au Personality this is totally dangerous kwenye future yako Cz Asilimia kubwa ya Wanaume wenye personality nzuri hawanaga future yeyote wanaona personality is everything na anaweza kudate na Mwanamke yeyote yule cz ya Muonekano wake, na Asilimia kubwa ya Wanaume wa aina hii wanajionaga forever young kwamba hata akiwa na miaka 50 ataoa na atapata mtoto Sasa kwa dada zangu hii kitu ni Ngumu sana akishafikisha 35-40 basi kupata mimba ni probability na kuolewa na ni Probability kwanza mostly of them wanakuwa wako msongo wa mawazo na age imeenda
Wadogo zangu wenye age ya 20-26 acheni kupoteza mda kwenye toxic relationship eti kwasababu mwanaume ana personality nzuri ni kudestroy future yako mwenyewe cz Asilimia kubwa wanaume wanaojiona chocolate Kuoa ni ngumu sana
Bora uwe na Mwanaume Disable ila ana future na wewe na anakujali na anathamini uwepo wako kwake,
Acheni kuingia kwenye relationship kwa kuangalia Personality na Hela mwishoe Mnateseka kwenye relationship na mnakosa direction ya future yenu
Bora upate mwanaume anayekuthamini na kukujali na Mwenye mapenzi ya dhati kwako hayo mengine hela na Personality yatakuja tuu hakuna kinachoshindikana
Na wa age hiyo 20-26 huwa hawawasikii hata wazazi wao sembuse weweDada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.

Jambo la mausiano aliusiani na umri personality , muonekano , tabia nk akuna tasmin yoyote inaweza ikakufanya ujiridhishe kua watu wa aina fulani wako ivi na hawa wako ivi .. toxic relationships huchangiwa na utayari wa watu wawili .. unaweza kua huna muonekano na bado ukawa toxic vile vile .. HB wapo Aina mbili wapo mabishoo na wapo HB wanao jielewa .. pia wapo mabaharia mabisho na pia wapo mabaharia wanao jielewa pia ..Dada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.
Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au Personality this is totally dangerous kwenye future yako Cz Asilimia kubwa ya Wanaume wenye personality nzuri hawanaga future yeyote wanaona personality is everything na anaweza kudate na Mwanamke yeyote yule cz ya Muonekano wake, na Asilimia kubwa ya Wanaume wa aina hii wanajionaga forever young kwamba hata akiwa na miaka 50 ataoa na atapata mtoto Sasa kwa dada zangu hii kitu ni Ngumu sana akishafikisha 35-40 basi kupata mimba ni probability na kuolewa na ni Probability kwanza mostly of them wanakuwa wako msongo wa mawazo na age imeenda
Wadogo zangu wenye age ya 20-26 acheni kupoteza mda kwenye toxic relationship eti kwasababu mwanaume ana personality nzuri ni kudestroy future yako mwenyewe cz Asilimia kubwa wanaume wanaojiona chocolate Kuoa ni ngumu sana
Bora uwe na Mwanaume Disable ila ana future na wewe na anakujali na anathamini uwepo wako kwake,
Acheni kuingia kwenye relationship kwa kuangalia Personality na Hela mwishoe Mnateseka kwenye relationship na mnakosa direction ya future yenu
Bora upate mwanaume anayekuthamini na kukujali na Mwenye mapenzi ya dhati kwako hayo mengine hela na Personality yatakuja tuu hakuna kinachoshindikana
Mpe namba yangu 0692507838Kuna dada namjua ana date na a very handsome man mmoja hivi mwaka wa sita huu. Bi dada anafika 30 soon mwanaume kila siku anatafuta visingizio vya kutomuoa na wala hataki wazae kabla ya ndoa.
Wote wana kazi nzuri tu nmemshauri mdada afanye utaratibu mwingine naona bado anakomaa nae tu na dalili hakuna.
Hahah umenichekesha ni hataki watu wengine anawatoa kasoro wote ana mtaka huyo huyo mwenye muonekano mzuri.Mpe namba yangu 0692507838
Mpe namba yangu 0692507838
Dah usinifanyie hivyo. NisaidieHahah umenichekesha ni hataki watu wengine anawatoa kasoro wote ana mtaka huyo huyo mwenye muonekano mzuri.
Na saivi kaanza kuninunia kwa kumpa ushauri wa kumuacha. So nikimpa namba ndo ntamuuzi zaidi.
Roho inakuuma mi kutafuta mkeBaada ya kusikia ana kazi nzuri umeona ukazie na namba kabisa mambo yasiwe mengi
Kwa hiyo tukusaidie nini ?Dada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.
Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au Personality this is totally dangerous kwenye future yako Cz Asilimia kubwa ya Wanaume wenye personality nzuri hawanaga future yeyote.
Wanaona personality is everything na anaweza kudate na Mwanamke yeyote yule cz ya Muonekano wake, na Asilimia kubwa ya Wanaume wa aina hii wanajionaga forever young kwamba hata akiwa na miaka 50 ataoa na atapata mtoto.
Sasa kwa dada zangu hii kitu ni Ngumu sana akishafikisha 35-40 basi kupata mimba ni probability na kuolewa na ni Probability kwanza mostly of them wanakuwa wako msongo wa mawazo na age imeenda.
Wadogo zangu wenye age ya 20-26 acheni kupoteza mda kwenye toxic relationship eti kwasababu mwanaume ana personality nzuri ni kudestroy future yako mwenyewe cz Asilimia kubwa wanaume wanaojiona chocolate Kuoa ni ngumu sana
Bora uwe na Mwanaume Disable ila ana future na wewe na anakujali na anathamini uwepo wako kwake,
Acheni kuingia kwenye relationship kwa kuangalia Personality na Hela mwishoe Mnateseka kwenye relationship na mnakosa direction ya future yenu
Bora upate mwanaume anayekuthamini na kukujali na Mwenye mapenzi ya dhati kwako hayo mengine hela na Personality yatakuja tuu hakuna kinachoshindikana
Na bora ununiwe, acha wivu!Hahah umenichekesha ni hataki watu wengine anawatoa kasoro wote ana mtaka huyo huyo mwenye muonekano mzuri.