Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba,Mlipili na Juma wapewe nafasi kubwa kuziba pengo la beki wa kati.

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,388
Mojawapo ya eneo ambalo binafsi lina nipa mashaka kwa timu ya Simba ni ulinzi wa kati

Ni kweli ulio wazi kuwa Wawa na Nyoni ni mabeki wazuri .Changamoto kubwa iliyopo ni umri wao. Hawa wanahitaji mtu mbadala wa kuwasaidia na awe na wakiwango kizuri. Ningekuwa kocha ningeanza mapema kuwatumia mara kwa mara Mlipili na Kennedy (aliyetoka Singida) kwa kuwa lolote linaweza kutokea ,na kwa kuzingatia umri wao.

Imekuwa kawaida ya Simba na Yanga kuwasajili vijana na kuishia kusugua benchi na kupotea kabisa .Mohamed Ibrahim,na Isihaka ni mojawao,hawa wangeendelezwa leo Simba isingehitaji Wawa au Shiboub.

Tulishuhudia mwaka juzi Mlipili akiaanza kukomaa kucheza mechi za kimataifa lakini ujio wa Paskal Wawa ulimrudisha nyuma.

Nimeandika haya bila kumjumuisha Mbarazil kwa kuwa kwa historia ya Wabrazil na soka la Afrika lolote laweza kutokea.
 
Dah Wabrazil! Ndo Mpira Wetu Huu! Yaan Usajili Wa Chiboub Umefukia Usajili Fyonko Wa Wabrazil! Kila Kona Shboub, Shboub! Kwanini Zile Nafac 3 Zawabrazil Zisingebaki Wazi? Wakasubili Dirisha Dogo? Nakumbu Ligi Yamwaka Juz Kabla Ya Wawa Hajatua, Mlipili, Nyoni, Kwasi, Kotei Na Juuko Walivyopambana Kigaid Kule Misri Na Kuwazuia Al Masri Wasimwone Manula, Pia Mech Ya Tpl Dhidi Ya Azam Simba Akipata Ushindi Wa Goli 1-0 Bao La Okwi! Mlipili Aliwazuia Kina Atta Na Kina Chilunda Wasifunge! Kiukweli Jamaa Anajituma Sana! Ila Cjui Tatzo Nn
 
Usajili w aWabrazil 3 ni sawa na kubeti!
 
Ushawahi kufika mazoezini ukajuw paformance zao acha kocha afany kazi yk
 
Back
Top Bottom