Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika!
Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess).
Tumezoea kuona kama sio kuiga kuwa mhudumu wa ndege ni lazima awe mdada fulani mwembamba mweupe na mrembo, mimi nawashauri mtoke kitofauti, kumbuka hizi ndege kwa kiasi kikubwa zinahudumia waafrika na si unajua sisi wanaume wa kibantu nini tunapenda kuona toka kwa wadada wetu wa kibantu,
Wekeni wadada wenye shepu za kibantu bana tena ikiwezekana wekeni wale watoto wakali "mablack biuty" wenye fizi nyeusi na meno meupee akitoa tabasamu linakuwa mujarab kabisa, hakyanani nawaambia hii italeta italeta impact kubwa sana kwny biashara na italeta utofauti kwny tasnia hii ya usafiri wa anga! "inglish figa" waachieni British Airways
Sent using
Jamii Forums mobile app