Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
We jamaa hujakutana na watoto wazuri wenye fizi nyeusi,meno yamepangika halafu meupee! Ninaposema nyeusi simaanishi km kiwi la hasha! Km tunavosema mtu mweupe hatumaanishi weupe wa karatasi! Najua umenielewa mtu mzma weye!!Fizi nyeusi???
Unataka tukipanda hizo ndege na watoto wetu waanze kuweweseka usiku?
Nimekuelewa Mkuu Si kama yule binti flani alikua miss flani mwaka juzi kama sikosei!We jamaa hujakutana na watoto wazuri wenye fizi nyeusi,meno yamepangika halafu meupee! Ninaposema nyeusi simaanishi km kiwi la hasha! Km tunavosema mtu mweupe hatumaanishi weupe wa karatasi! Najua umenielewa mtu mzma weye!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Sanchi au Vera ila wawe blackYani unamaanisha wenye shape kama Asha Boko au,,?
Mbona tayari wameshawaweka? Hawa hapa mkuu ila kuna watu wanawacheka na kuwadharau ndio Zito akawatetea!Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika!
Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess).
Tumezoea kuona kama sio kuiga kuwa mhudumu wa ndege ni lazima awe mdada fulani mwembamba mweupe na mrembo, mimi nawashauri mtoke kitofauti, kumbuka hizi ndege kwa kiasi kikubwa zinahudumia waafrika na si unajua sisi wanaume wa kibantu nini tunapenda kuona toka kwa wadada wetu wa kibantu,
Wekeni wadada wenye shepu za kibantu bana tena ikiwezekana wekeni wale watoto wakali "mablack biuty" wenye fizi nyeusi na meno meupee akitoa tabasamu linakuwa mujarab kabisa, hakyanani nawaambia hii italeta italeta impact kubwa sana kwny biashara na italeta utofauti kwny tasnia hii ya usafiri wa anga! "inglish figa" waachieni British Airways
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana yake!! Mimi huwa naogopa kupanda ndege lkn wakiweka vivutio km hv hata mimi uoga utaisha mkuu!Haahaa Wenye wesele ausio mkuu.
Hii ni bizness mkuu, muonekano mzuri wa wahudumu huvutia wateja pia pamoja na mambo mengine
Uzuri wa wanawake hao unasaidia vipi kuongeza wingi wa Wateja? So kwenye business ndio lazima uweke wanawake warembo?Hii ni bizness mkuu, muonekano mzuri wa wahudumu huvutia wateja pia pamoja na mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia Ethiopian Airlines utaelewaUzuri wa wanawake hao unasaidia vipi kuongeza wingi wa Wateja? So kwenye business ndio lazima uweke wanawake warembo?
Hizo kazi unataka kuniambia ni Kama za MA barmaids?
Kwa mentality Hiyo uliyojijengea mkuu Uko tayari mkeo Au mwanao wa kike afanye kazi hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app