USHAURI WA BURE:acheni ''WIVU'' kwenye ''MIPANGO YA KANDO''

Huyo Deus yuko humu apate ujumbe???

ukweli siwezi jua kama yupo au la....!ingawa anatumia blakbeli kusurf....!

nimeamua kutoa kile kilichopo moyoni baada ya kuona roho yangu inahangaika....!

inakuaje anionee wivu?

YULE SI WAKE...WALA SI WANGU!...MIMI NINA WANGU NYUMBANI...YEYE ANA WAKE NYUMBANI....!kwanin wivu?
 
Chuki ya nini kati yake wewe na yeye nasema "HANA MAKOSA EEHHH BWANA NASEMA HANA MAKOSA EEEHHH BWANA"
 
"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"

"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?" ........Askofu, JF Mkuranga

Kwaresma inaanza Jumatano jamani, msiache kufunga na kusali Mungu awaepusha na hiyo Mipango ya Kando
 
Seventy YEARS is all we have, eighty years if we're strong: yet all they bring us is TROUBLE and SORROW; LIFE is SOON OVER, and we're gone.
 
mkuu kimya sana siku hizi...!

najiandaa kuikimbia zinaa mkuu
 
mkuu kimya sana siku hizi...!

najiandaa kuikimbia zinaa mkuu

Ukitaka kuikimbia zinaa, kamchukulie Deusi crap yake ajue. Akikutwanga makonde na kupukuchua meno kadhaa hutarudia tena.

BTW zinaa inakimbiwaje?
 
nasikia boneti nae yupo kwenye mkakati wa kuikimbia zinaa
 
Ukitaka kuikimbia zinaa, kamchukulie Deusi crap yake ajue. Akikutwanga makonde na kupukuchua meno kadhaa hutarudia tena.

BTW zinaa inakimbiwaje?

Jifunze kuanzia jumatano ya majivu mpaka pasaka
 
Back
Top Bottom