Ushauri wa biashara ya viwanja

Ushauri wa biashara ya viwanja

Jimmy99

Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
18
Reaction score
5
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni.
Unaweza kununua kiwanja Cha milion tatu na laki nane, ukajenga na kupangisha au kiwanja Hicho Hicho Cha thamani ya 3.8M baada ya miez michache ukakiuza kwa Bei ya juu zaidi.

Kwa maelezo au kutembelea mradi ulipo piga namba hii 0620175964
IMG_20220419_103744_023.jpg
 
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni.
Unaweza kununua kiwanja Cha milion tatu na laki nane, ukajenga na kupangisha au kiwanja Hicho Hicho Cha thamani ya 3.8M baada ya miez michache ukakiuza kwa Bei ya juu zaidi.

Kwa maelezo au kutembelea mradi ulipo piga namba hii 0620175964View attachment 2192793
Kigamboni ni kubwa sana, wewe uko wapi? Na Square meter shilling ngapi?
 
Hivi inakuwaje mtu mmoja anamiliki ardhi halafu anaigawa viapande vidogo vidogo na kuuza? Anakuwa amenunua eneo lote na kumilikishwa au anakuwa kama wakala wa serikali au entity fulani?
 
Kwa upeo wangu mdogo, eneo kubwa la kigamboni watu walimiliki kama mashamba( enzi hizo ilikuwa Temeke), baadae wamiliki wa mashamba hayo wakayapima kwa kufuata taratibu za mipango miji.
Kwa hiyo ukishapima, kuweka mawe kunakua na mchoro wa surveyed plan ambao utatoa viwanja, barabara n.k.

Mfano mtu alikuwa na hekari tatu akapima akapata viwanja kama kumi na mbili vya makazi, anaona hawezi kuvimiliki au kuvijenga vyote anaamua kuviuza vichache.
 
Asante kwa maelezo!
 
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni.
Unaweza kununua kiwanja Cha milion tatu na laki nane, ukajenga na kupangisha au kiwanja Hicho Hicho Cha thamani ya 3.8M baada ya miez michache ukakiuza kwa Bei ya juu zaidi.

Kwa maelezo au kutembelea mradi ulipo piga namba hii 0620175964View attachment 2192793
Lo...nilivyoona heading nilidhani kuna ushauri Wa biashara ya viwanja..
 
Kigamboni ni kubwa sana, wewe uko wapi? Na Square meter shilling ngapi?
Office Yetu Ipo ubungo plaza ( Katambe street).
Hivi viwanja vipo kigamboni sehem inayoitwa Mbutu.
Ukitoka ferry ni 17 km. Magari unapanda ya Cheka unashuka kituo kinachoitwa Dege.
 
Back
Top Bottom