Habarini wana JF.
Nina mdogo wangu alimaliza shule ya ufundi O-level form six kapiga PCM. Mwaka 2009 na kapata phy D,chem S,na math E,akawa ameend dip ya ualim sasa ni mwl anafundisha somewhere, sasa anapenda sana engineering mwaka jana akaomba bachelor civil enginrng MUST, UDSM, Ardhi ila hakupata.
Sasa anaomba msaada wa kimawazo kuwa ni vyuo gan ambavyo havina ushindani il akiomba tena asikose!