Kitendo cha kuitisha mkutano wa Baraza kuu kwa ajili ya kujadili rufaa ya Zitto kitapelekea kupasuka kwa chama na hili ndilo Lengo na mh zitto Kabwe huyu kijana Ana ufuasi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama kwa hiyo anaweza kukigawa chama mapande mawili na baadaye Kuhama nao, nawaomba viongozi wawe makini waache Jazba vinginevyo inaweza kula kwao,
Ushauri wangu: wamuache aendelee na ubunge wake amalizie mpaka 2015 si mbali atamaliza ataondoka.
Ushauri wangu: wamuache aendelee na ubunge wake amalizie mpaka 2015 si mbali atamaliza ataondoka.