N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Dec 10, 2015 #1 Naombeni wenye uzoefu na usimamizi wa salon ya kiume waniambie namna sahii bila kuwa na usumbufu. Je natakiwa kuwalipa kwa mwezi wafanyakazi au wao wanilipe kwa siku na wajilipe wenyewe??
Naombeni wenye uzoefu na usimamizi wa salon ya kiume waniambie namna sahii bila kuwa na usumbufu. Je natakiwa kuwalipa kwa mwezi wafanyakazi au wao wanilipe kwa siku na wajilipe wenyewe??
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,898 Reaction score 14,864 Dec 10, 2015 #2 Kuna jamaa anawachaji kwa siku,mfano kwa siku analipwa 20000/,umeme wanalipa wao,mmiliki analipa pango pekee..
Kuna jamaa anawachaji kwa siku,mfano kwa siku analipwa 20000/,umeme wanalipa wao,mmiliki analipa pango pekee..
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,362 Reaction score 3,656 Dec 10, 2015 #3 Saloon inaukubwa gani?
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Dec 10, 2015 Thread starter #4 makedonia said: Saloon inaukubwa gani? Click to expand... Inakaa viti viwili vya kunyoa, ina chumba cha kuoshea kichwa na scrub, pia ina tv na ac
makedonia said: Saloon inaukubwa gani? Click to expand... Inakaa viti viwili vya kunyoa, ina chumba cha kuoshea kichwa na scrub, pia ina tv na ac