Ushauri;upinzani lazima muige mfumo-CCM katika kila kitu..!!??

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Wanabodi salaam;
Najikita ktk hoja moja kwa moja. Vyama vyetu vya upinzani km vinavyojiita,ni vyama mbadala wa CCM. Vyenyewe vinatuaminisha kuwa CCM wameshindwa kuongoza na hivyo hawastahili kuendelea..!

Ki-msingi wanahoja nzuri sana. Lkn ukiangalia matendo yao,muundo wa vyama nk. Ni km wanafuata mambo yaleyale ya ccm ila wanabadili majina tu.

Binafsi siipendi ccm,na hapa ningependa kushauri viongozi wa vyama vikuu vya upinzani kuwa na muundo wa vyama tofauti na CCM. Hv kwa vile ccm ina mkutano mkuu,halmashauri kuu,kamati kuu na sekretarieti na upinzani lazima wawe na mkutano mkuu,baraza kuu,kamati kuu na sekretarieti!!??

Hebu jaribuni kubadili mifumo kwanza ya vyama vyenu hasa CHADEMA na CUF. Ukiacha hili la mfumo,kuna suala la sare za chama. Aisee km ni upuuzi mkubwa unaoendelezwa basi ni huu.
Nimeona juzi hapa chadema jinsi walivyovaa sare za chama chao. Halafu wakati huo eti wanatuaminisha wana muungano wao wa UKAWA..!!

Waangalieni wenzenu wa kenya,hawana muda na sare zaidi ya hoja jukwaani na bendera za kenya. Hivi hatuwezi kufanya siasa kwa kutanguliza u-taifa badala ya vyama!!??

Chadema na Cuf,ondokaneni na kasumba ya kuvaa sare mnaabisha sana! Tunataka kuona ktk mikutano yenu mkipeperusha bendera ya Taifa badala ya bendera za vyama.
Mambo ya sare waachieni CCM!
Ni hayo tu kwa leo!!
 
CCM hii
teh teh teh
unanifurahisha sana, tuige kula rambi rambi, na kuwatesa watu kwa kuwafutia ajira?
2018 mjiandae na polisiccm kunikamata. Naanza kampeni ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Ni hayo tu
 
CCM hii
teh teh teh
unanifurahisha sana, tuige kula rambi rambi, na kuwatesa watu kwa kuwafutia ajira?
2018 mjiandae na polisiccm kunikamata. Naanza kampeni ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Ni hayo tu
Mkuu umesoma kweli kilichoandikwa au umeandika kwa kusoma tu kichwa cha habari!!?? Hebu soma tena kisha urudi kuchangia...
 
Hata mimi huwa nawashangaaa. hawajamaaa. wao walitakiwa kuleta mbinu ya kipekeee iliwapiga kura tuoanishe wapi panafaa au hapafai. lakini chaaajabu na kwa speed walionayo sasa wanaelekea kuwa wabaya zaidi ya ccm wasipokuwa makiniii
 
Back
Top Bottom