CIF | 2,000 USD | 3,240,700 TZS |
Import Duty | 500 USD | 810,175 TZS |
Dumping Fee | 500 USD | 810,175 TZS |
Excise Duty | 150 USD | 243,053 TZS |
VAT | 567 USD | 918,738 TZS |
Total Taxes | 1,717 USD | 2,782,141 TZS |
Port Charges | 150 USD | 243,053 TZS |
L/Shipping Line | 75 USD | 121,526 TZS |
Total Cost | 3,942 USD | 6,387,420 TZS |
Sorry mkuu. Nilimaanisha ya mwaka 2000Gari za mwaka huo zimeshotoka mkuu
CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa Japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.Hawa unakutana nao wapi tena? si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
By the way, what does CIF stand for?
Naimport from Japan, through tradecarview. Itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa Japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
Naimport from Japan, through tradecarview. itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
Yes, nimecheki zile steps za kucalculate kodi and the likes, lakini kilichonishangaza, majibu niliyopata mwisho hayakuwa na tofauti na yale ya kwenye Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com.Ukisoma maelezo vyema ya hiyo site kuna namna na maelekezo ya jinsi ya kuagiza gari na hatua za kuchukua mkuu, ile ya TRA file ya excel hata mimi inanichanganya
Yap, hiyo ni ya kusafirisha peke yake. Huku unakuja kulipia bima ya kuendesha gari barabarani.If it is so, mbona tena jamaa ameongelea bima? ama hii bima iliyoko kwenye CIF ni ya kusafirisha tu?
Good luck with your searchnataka hiyohiyo cheap kwa sasa, cc 660, ya 2002. Let me check. Thanks mkuu!
Hawa unakutana nao wapi tena? si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
By the way, what does CIF stand for?
Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo.
Shukurani sana MANI . Angalau nimefarijika kwamba ninaweza kumudu. Ngoja sasa nijipinde kwa ajili ya hiyo Pajero.Lukolo mimi nimeangalia kwenye hiyo table yao bei suzuki kei hawana ila kwa pajero io total taxes tra ni usd 1280.00 x exchange rate na gharama za bandari na shipping line ni kama 300,000.00.
CIF
2,000 USD
3,240,700 TZS
Import Duty
500 USD
810,175 TZS
Dumping Fee
500 USD
810,175 TZS
Excise Duty
150 USD
243,053 TZS
VAT
567 USD
918,738 TZS
Total Taxes
1,717 USD
2,782,141 TZS
Port Charges
150 USD
243,053 TZS
L/Shipping Line
75 USD
121,526 TZS
Total Cost
3,942 USD
6,387,420 TZS
Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..