Lutena
Member
- May 26, 2015
- 31
- 4
Natanguliza salamu wakuu,
Nina msichana tulikuwa tunafanya naye kazi pamoja katika kampuni moja, yeye kielimu kanizidi mimi ni standard seven, kwa sasa yupo chuo mwaka wa tatu anasomea Sheria.
Kama unavyo jua kawaida ya wavulana usione binti mzuri nini unamtokea, ni kweli aliitikia hatimaye tukawa pamoja katika mahusiano yapata miezi minane.
Lakini katika miezi yote ile papuchi nilishaiona mara mbili tu na penyewe ni kwa shida sana, pindi mwaka jana alikuwa mwaka wa pili chuo UDS na kwa sasa huu mwaka wa tatu yupo SAUT.
Tangu ajiunge pale hakuna cha simu wa SMS na hata mimi nikimpigia mara asipokee SMS hata kujibu hamna. Naumia kwa hili hii hapa na ndio ilikuwa tegemeo langu la kumuoa.
Nifanyeje jamani, naombeni ushauri jamani nitashukuru.