Black Cork
Member
- Sep 10, 2019
- 24
- 16
ana elimu kiasi gani mkuu huyo mchuchu??..Sio kigezo cha kuoa though,nataka tu nijue
swala la kuoa ni kuangalia tu moyo,mambo mengine ni generalizations zisizo na maana
Kwa umri ulionao we oa bikra ila angekuwa mtu mzima angeoa mke.....
Wewe oa
πππFurushi.