atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,809
Okay nimekupa ngoja niendelee kuweka mitego yangu,asantee kwa ushauri ila nitakufuata private unitengenezee mitegoKila mtu anakaujinga flani huwa anakafanya kwa lengo la kujifurahisha au kupoteza muda in a very secret way. Mwingine kuchati na wanaume au wanawake ndio funny yake ila hawezi kutembea nao. Ili kujiridhisha nilazima uweke mitego yako vizuri kwamba kwanini anafanya hivyo na kwa lengo gani. Ukijiridhisha kuwa hajatulia basi unapiga chini. Ukitaka nikukamatie nijulishe..
Mkuu hii dunia wanawake ni changamoto aisee,japo na ss hatujalia lakin wenzetu wanataka nin ukiwa na pesa utasalitiwa ukiwa ndio shida kabisa ss sijui hata tufanyajeSingle maza pasua kichwa sana. Aliewaroga kafa. Umezwalishwa na kutelekezqa unapata mtu wa kukistiri bado unawashwa huko chini kutulia hutaki. Ni laana au nn tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu sikufichi baada ya kuona hizo text nilimwangalia nikabaki namtafakari tuu,mpaka muda huu sitaki kulichukulia hili jambo kwa hasira,ushauri wako bado nauhitaji mkuuHamna kitu kinauma kama ugundue mwenzio anakusaliti na huna namna ya kumfanya aache zaidi ya atake mwenyewe
Kwahiyo mm sio mtu sahihi kwake?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]atlas copco,
Anatafuta mtu sahihi wa kuolewa nae koo usishangae
Kuhusu mzazi mwenzake huyo hana tatizo sababu mtt atabaki kwa bimkubwa wake wakat tunaendelea kujipanga,so kama ni mawasiliano baba mtt atakuwa anawasiliana na bibi yakeMm nadhan fikria hivi...single mother ila anamtu alozaa nae na uyo mtu ananamba mbili wanawasiliana kumjadili mtoto wao na wewe hutaweza kuja zuia kamwe!
mweleze bas kua huwezi kumfos aache anachokifanya na hukipendi ila mpe option kama anaona hawezi heri muachane mapema kabla hamjaoana kuachana mkiwa hamjaona ni kiasi cha maamuzi tu kama mmoja wenu akiamua, waweza pia kumpa muda akiendelea kujitafakari,Kweli mkuu sikufichi baada ya kuona hizo text nilimwangalia nikabaki namtafakari tuu,mpaka muda huu sitaki kulichukulia hili jambo kwa hasira,ushauri wako bado nauhitaji mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana bado anatanga tanga ungekua we sahihi kwake angetuliaKwahiyo mm sio mtu sahihi kwake?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana bado anatanga tanga ungekua we sahihi kwake angetuliaKwahiyo mm sio mtu sahihi kwake?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay na asantee kwa ushauri mkuu,soon nitakupa mrejesho,ila kabla hatujaachana nilimweleza kabisa kuna mtu anakudanganya kama ni uongo niambie nasema uongo,alikaa kimya tuumweleze bas kua huwezi kumfos aache anachokifanya na hukipendi ila mpe option kama anaona hawezi heri muachane mapema kabla hamjaoana kuachana mkiwa hamjaona ni kiasi cha maamuzi tu kama mmoja wenu akiamua, waweza pia kumpa muda akiendelea kujitafakari,