Ushauri unahitajika, mambo yamenifika shingoni

Aiseeee..! Huyo mwanamke hakufai na kwa maelezo yako inaonyesha yy ndie mwenye sauti.
2M kala bado kaenda kuchukua na mkopo haitoshi kauza na thamani za ndani ww upo upo tu. .! Pole sana ila mzizi wa matatizo ni ww mwenyewe.
Asante
 
 
Nimeelemewa sana hata nguvu ya kuomba sina neema ya Mungu initawale yaani??
 
Ushauri mzuri asante
 
Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Aisee!

Uandishi gani sasa huo?

Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....

Tuna majanga mengi mno nchi hii!
Stress zmemfanya asfate kanuni za uandsh, msamehen jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…