Ushauri unahitajika kwa mdogo wangu

Ushauri unahitajika kwa mdogo wangu

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa mahakamani.nikawa nae miezi nane kwenye uhusiano then tukaachana.
Now imepita miezi minne toka tuachane.
Nina mdogo wangu ambaye amepata kazi kwenye taasisi moja ambayo yule mume walie achana na mpenz wangu wa zamani anafanya kazi ila wako mikoa tofauti na mdogo wangu.now yule jamaaaa anataka kumuoa mdogo wangu kwa ndoa.
So, dogo naye kajua hii situation yote haelewi afanye nn? Msaada wakuu kimawazo.
 
hakumwambia ana mtoto???
 
wee bwana huyo jamaa asimuoe dda yako kabis ...aliahaonyesha hawezi maisha ya ndoa.
 
mimi mwenyewe sielewi hapa ulichoandika..!

wacha niendelee kunyonya bana!!.. ndo raha yangu!
 
Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa mahakamani.nikawa nae miezi nane kwenye uhusiano then tukaachana.
Now imepita miezi minne toka tuachane.
Nina mdogo wangu ambaye amepata kazi kwenye taasisi moja ambayo yule mume walie achana na mpenz wangu wa zamani anafanya kazi ila wako mikoa tofauti na mdogo wangu.now yule jamaaaa anataka kumuoa mdogo wangu kwa ndoa.
So, dogo naye kajua hii situation yote haelewi afanye nn? Msaada wakuu kimawazo.

kwani alishagegedwa sana nini na hapo ajiandae tu kutimuliwa kama wa kwanza sijui kisa ni nini hasa..
 
Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa mahakamani.nikawa nae miezi nane kwenye uhusiano then tukaachana.
Now imepita miezi minne toka tuachane.
Nina mdogo wangu ambaye amepata kazi kwenye taasisi moja ambayo yule mume walie achana na mpenz wangu wa zamani anafanya kazi ila wako mikoa tofauti na mdogo wangu.now yule jamaaaa anataka kumuoa mdogo wangu kwa ndoa.
So, dogo naye kajua hii situation yote haelewi afanye nn? Msaada wakuu kimawazo.

Usimuhukumu mshkaji huyo mwanamke aliyekuwa mkewe wewe mwenyewe kakushinda umempiga chini, Jamaa yuko poa mlupo huo ndo umeharibu historia ya jamaa sasa anaonekana kama hawezi ndoa.
 
Thanks mkuu kwa ushauri...
 
Kwani huyo x wako alikuambia kwa nini walitengana? Unaweza pia kumshauri dada yako asije angamia.
 
Kama familia yenu ni ya Kikristo, basi mwambie mdogo wako asiolewe na huyo bwana maana mbele ya Mungu huyo mwanaume anahesabika yupo ndoani.
 
Best nakukubali sana, hapa umenena,hakuna ndoa hapo!
 
Kwani huyo x wako alikuambia kwa nini walitengana? Unaweza pia kumshauri dada yako asije angamia.

X wangu alitoa reason kuwa ndugu wa mume walikuwa hawapatani naye.but naona X wangu ni mwanamke mgumu sana kuishi nae.
 
Mi naona km mdogo wako ameshaambiwa story kuhusu jamaa yake haina haja ya kumzuia! mwache ataamua mwenyewe!
 
watu8, dont tell me you commented here under the influence of alcohol.. Otherwise, rewrite it!

Kumbe wazazi nao hunyonya maziwa kwa wanao!!!
 
Last edited by a moderator:
watu8, dont tell me you commented here under the influence of alcohol.. Otherwise, rewrite it!

Wala sijalewa...nimeelewa kama ulivyoandika kuwa unanyonya maziwa ya bebii..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom