Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,785
- 4,498
Huyo mwanamke nae mnafki tuu, yupo hapo sababu ya pesa aende wapi aache pesa ila ndo ivo Tena kumbe mumewe bwabwa na pengine ndo ajenda zao za kupata utajiriHey Wajaaaaa!!!
Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote.
Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli huwa haujifichi ila unachelewa kuonekana.
Kilichonikwaza ni huyo mume kumleta bwana ake ndani, tena chumbani na kitandani kwa watoto?? Wamekosa hela ya guest au Lodge? Km ni kuogopa usalama wa faragha yao, si wangepanga chumba, kiwe maalumu kwa mambo yao binafsi, mwisho anaishia kuumiza hisia za mwenzake,
Watuu kujikubali na kukubali uhalisia jinsi walivyo hawataki, eti kisa kuridhisha jamii na umma. Mambo ndio hayoo.
MliView attachment 3540965View attachment 3540965oko ndoani semeni na shengesha zenu, mtakuja mpate stroke za ukubwani.
ππππππππππ
Ndo uhalisia huo mkunwaji hufaidi kuliko mkunajiIla wanaume mnaona tunafaidi sana π’
Ni kweli kabisa ila kuvunja ndoa , kwanza dada hana ushahidi zaidi ya kusikia tu na kuona mume wake ana pigo za ajabu ajabu , pili mumewe ni mchungaji na ndoa yao imeshikilia kazi ya muwe wake , tatu dada hana kazi na wanawatoto wa 3 , wawili wapo shule za ghali ,na mumewe ndio mlipa ada kwa kazi ya uchungaji.Bwashee kwa kisa hiki,hao wana ndoa hata wakiendelea kuishi pamoja,hakuna tena upendo kati yao wala hawawezi kuja kuaminiana tena,
Suluhisho hapo ilikua ni kuachana tu ili huyo Mumewe aolewe na huyo mume wake ili achimbuliwe kwa uhuru zaidi coz ndio njia aliyoichagua,
Life is very short,hakuna haja ya kujitesa kwa kuendelea kuishi na mtu wa aina hiyo,hasa kwenye malezi ya watoto.
π€£..ila kama ni kweli inaonesha huwa anacheza kwa moyo wake wote.Mleta mada yupo uwanja wake wa nyumban
ππππππ yaan uduguu, Dunia ishapinduka hii, mume nae ana mume wake.Ndiomana nilisema sasa hivi bikra kwa wanaume ni muhimu kuliko wanawake..!!
Mambo ndo kama hayo mume kizibo kimezibuliwa..!!
Yani natia kiberiti kila kituπ«’πππππ mahi mbona umefika mbalo huko.
Hutaki harrier anaconda, woiiiiiiih
Afadhali nimekuona mkuuHaya mambo ya matifunyungu yataniharibia utakatifu wangu hapa MT Andrew.
Hujatoa suluhisho, umemshauri aondoke, vipi huko aendako, maisha yatakuajee.Anaogopa kuondoka eti watoto watalelewa malezi ya mzazi mmoja,halafu hapo hapo anasema anamuona mume wake kama Mwanamke mwenzake,
Sasa mpaka hapo si tayari hao watoto wanalelewa na wazazi wawili wenye jinsia moja,kama anamuona mumewe ni sawa na mwanamke mwenzake basi tayari hao watoto wanalelewa na mzazi mmoja,
Ondoka na watoto wako coz hapo hakuna Baba wala hakutakua na malezi ya maana kwa watoto,japo hii mada nahisi ni kama Chai tu.
Sipendi ujinga mmWee!! ππππ