Ushauri: Tundu Lissu ateuliwe naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,045
2,000
Wana JF,ninawasalimu. Ili kufanikisha azma ya Raisi wetu kupambana na wezi wa madini yetu, nashauri yafuatayo . Wizara ya Katiba na Sheria ijiimarishe zaidi na iwe na wazalendo na wajuzi wa kutosha kwenye sheria zetu.

Imeonekana,chanzo cha wizi huu ni upungufu wa sheria thabiti na kukosa uzalendo kwa wenye dhamana.

Ninajua,siyo kila mbunge anaweza kujua vizuri sheria na mikataba,ila Wizara yenye dhamana ndo mhimili unaoweza kusaidia na kufafanua mengi. Mh. Tundu Lissu ameonekana kuimarika kwa kiasi fulani kinachotosha kutoa mwongozo na utetezi wa kisheria katika mwenendo mzima wa shuguli za madini na mikataba.

Kwa maana hiyo,vyema washirikiane nj Prof. Kabudi kusukuma mbele hoja za leo za Mh. Rais wetu kwenye ripoti ya 2 iliyowasilishwa leo.
 

Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,170
2,000
Wana JF,ninawasalimu. Ili kufanikisha azma ya Raisi wetu kupambana na wezi wa madini yetu, nashauri yafuatayo . Wizara ya Katiba na Sheria ijiimarishe zaidi na iwe na wazalendo na wajuzi wa kutosha kwenye sheria zetu. Imeonekana,chanzo cha wizi huu ni upungufu wa sheria thabiti na kukosa uzalendo kwa wenye dhamana. Ninajua,siyo kila mbunge anaweza kujua vizuri sheria na mikataba,ila Wizara yenye dhamana ndo mhimili unaoweza kusaidia na kufafanua mengi. Mh. Tundu Lisu ameonekana kuimarika kwa kiasi fulani kinachotosha kutoa mwongozo na utetezi wa kisheria katika mwenendo mzima wa shuguli za madini na mikataba. Kwa maana hiyo,vyema washirikiane nj Prof. Kabudi kusukuma mbele hoja za leo za Mh. Raisi wetu kwenye ripoti ya 2 iliyowasilishwa leo.
Huyu tumtilia,shaka kwa jinsi anavyopiga kelele kuwasaidia wezi wa madini wetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom