Ushauri: Tundu Lissu ateuliwe naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Lissu huyu huyu aliewatetea ACACIA ... huo ujinga fanyeni huko huko chadema.
Acacia ililetwa na nani?? Nani alisaini nao mikataba??

Unajua lissu na akina zitto walikua wanaipinga ila akima magufuli na ccm yake ndio mkawaona akina lissu wajinga?? Unalijua hilo wewe mtoto??
 
Kabla ya huyu aliyepo kwa taarifa yako alifuatwa na alikataa. Hawezi kukichafulia credibility kubwa aliyonayo na kukubali kiteuliwa na mafala wanaoliuza taifa kwa mikataba hewa huku wakilaumu wazungu na wachina wkt wao ndo chanzo.....Lisu ni zaidi ya rais wa nchi anamaoni ya mbali....akateue akina zitto
 
Acacia ililetwa na nani?? Nani alisaini nao mikataba??

Unajua lissu na akina zitto walikua wanaipinga ila akima magufuli na ccm yake ndio mkawaona akina lissu wajinga?? Unalijua hilo wewe mtoto??

Ona wanaunda kamati kwa kutumia hela nyingi za watz wkt haya yote wameyaleta wenyewe tena kwa kuwatukana watz matusi ya nguoni.
 
Eeeeeeh huyo hata cheo cha kufuta viatu vya Rais, JPM hawezi kumpa.

Ni mmoja ya wasaliti wakubwa wa nchi yetu.
Watu watakao wavusha kanani mnawapuuza. ...ndio maana Rais kasema tumerogwa tuombewe na wachungaji. .....
 
Tatizo ni ccm hata iweje?
Wamewasababishia watanzania haya yote.


Watanzania pambaneni ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana .
 
Coco inakuaje wakati Mama Anna Makinda akimaliza uongozi wake wa Uspika alimsifia sana Lissu, alimuelezea kama mmoja ya watu waliomsaidia sana yeye na bunge katika ushauri wa mambo ya kisheria pamoja na fujo zake zote...

Nilikuwa sifatilii ya bungeni wala ya siasa nchini, kwa jinsi uongozi ulivyokuwa kabla.

Ukiniuliza ya baada ya JPM kuingia naweza kujua kama sijasahau hata kidunchu.
 
Nyie watu akilini zenu zimehifadhiwa pale lumumba??Lissu ndiye aliyesaini mikataba??

Shaaaaaaaa!!! Wewe ndio ulinipeleka Lumumba!?

Endeleeni kumtetea yeye bahasha za makinikia amekaa anafikiria arudishe au iweje... eeeeeh

Kawekewa kiporo, bora abadilike au analo
 
Kabla hujapost uwe unasoma ulicho andika

Msaliti Wa nchi ni wewe usiejua ulicho ansika

Go back to school

Bashite copy we

Ha ha ha haaaa

Wewe tena, nikusaidieje uache kuisoma namba..naweza kukupa ushauri nitakapokujibu post eeeeeeh
 
Lissu si alianza kukataa haya madudu tokea miaka ya 90?? Leo mnamwita msaliti??

Sasa aliyepiga makofi mikataba isainiwe na aliyekuwa anaipinga nani ni msaliti??

Ni mmoja wa viongozi wanaopenda kupokea bahasha, mwambieni abadilike.
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!!!! C & P
 
Lissu akamatwe na ashtakiwe kwa kuliingizia taifa hasara kubwa..

Tangu 1995 yeye ndio alikuwa kiongozi wa nchi..
 
Lissu huyu huyu aliewatetea ACACIA ... huo ujinga fanyeni huko huko chadema.
Mtataaaaaaniiiiiiii tumia ubongo kufikiri achaaaaa, tafuta clip ya Lissu usikilize vizuri, hao acacia hawataki hata kusikia neno Lissu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom