Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,785
Kufuatia taarifa kuwa TAKUKURU itamuhoji Paul Christian kuhusiana na swala la vyeti feki,nawashauri TLS kama mmekamilisha kukusanya ushahidi, muwahi mahakamani mapema ili nyinyi ndio muwa walalamikaji badala ya Jamuhuri yaani iwe kesi ya private prosecution.
Kesi zinazoendeshwa na Jamuhuri ziko chini ya DPP na mamlaka ya DPP yanajulikana unless hata hizi kesi za private prosecution DPP ana mamlaka nazo.Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila ninapata hisia fulani.
Naishia hapo.
Hawa watu siwaamini kabisa.Naona Takukuru wanataka kumpoteza mwenye vyeti aka Paul Christian,hebu ngoja tuone kama na yeye atapotea au lah
Hawa watu siwaamini kabisa.
Nani yuko juu ya sheria?Wamfungulie nani kesi!?
Yaani wewe dada sikupendi. Una kiehelele sana. Kila uzi unataka kuchangia halafu huelewi unachochangia. Hivi vyeti feki haujakutwa?Wamfungulie nani kesi!?
Yaani wewe dada sikupendi. Una kiehelele sana. Kila uzi unataka kuchangia halafu huelewi unachochangia. Hivi vyeti feki haujakutwa?