Ushauri: Tatizo la mapaja kuwaka moto na mishipa ya damu kuvimba

Ridwin

New Member
Sep 17, 2020
3
0
Habari Ndugu zangu wa JF,

Heri ya mwaka mpya wadau, Jamani naombeni hata ushauri katika tatizo hili.

Nina ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo la mapaja kuwaka moto kisha pia mishipa ya damu ya kwenye mapaja inakuwa kama inavimba.

Tatizo linatokea nyakati za asubuhi na jioni,ikifika usiku wakati wa kulala anakuwa sawa kabisa.

Kama kuna yeyote ashawahi labda kuona hii hali hata kwa mtu mwingine naombeni ushauri.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom