Habari wana MMU
Ushauri wenu unahitajika wapendwa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Mimi ni mwanamke wa miaka 30, nimeolewa ndoa halali na nina mtoto mmoja. Kinachonifanya mpaka niombe ushauri kwenu wadau ni kwamba hapo awali wakati tunaanza maisha na mme wangu mimi sikuwa na kazi, ndo kwanza nilikuwa nimemaliza chuo na mume wangu alikuwa ananihudumia kwa kila kitu, japo hakuwa na kipato kikubwa sana ila Mungu mwema mambo yalienda vizuri.
Mwishon mwa mwaka 2012 niljaaliwa na mimi nikapata kazi na hapo ndo mambo yakaanza,yaan mume wangu anataka mshahara wangu nikipata nimkabidhi yeye ndo aamue matumizi, wadau mwanzon nilijitahidi kufanya hivyo ila kadri siku zilivyoenda nikaona nashindwa kwani pamoja na hayo yeye mshahara wake hataki mie hata niuguse, naishia kuona kwenye salary slip tu.
Maendeleo ya familia anafanya ila ndoo hivyo anachoamua yeye ndo final, wadau mliopo kwenye ndoa naombeni mnishauri nifanyeje juu ya hili kwani ninakoelekea naona hii hali inanishinda kabisaaa.Kuanzia mwezi january mwaka huu niligoma kumkabidhi kadi yangu ya benki ninayochukulia mshahara sasa ndo imekua nongwa yaani hata matumizi ya vitu vya nyumbani hataki kuacha eti kisa mimi nina kazi na ninalipwa, jamani wanawake wenzangu is this fair, tafadhali nishaurini nifanyeje!!!!!!!!!!
NOTE; Kama huna cha kushauri pita kimya tuu. Asanteni