Nimepigiwa simu chuo cha Uhasibu arusha kwa ajili ya kwenda kufanya interviwe kwa nafasi ya Computer Technician nafasi ambayo ilihitaji mtu mwenye Cheti,kwa sasa nafanya kazi hiyohiyo chuo fulani cha serikali tena kwa level iyo ya cheti japo nina Diploma.Sasa naomba mnisaidie mawazo, je niende huko Arusha nikafanye iyo interview? Sijui wapi ni pazuri zaidi (mshahara) ilo ndo tatizo linalonisumbua.
Kwa wale waliochangia mawazo kuhusu post yangu ya kuitwa kwenye interview chuo cha Uhasibu Arusha sasa naleta mrejesho,Nilienda nikafanya Interview na kwa bahati nzuri nimefaulu ile interview na natakiwa kuripoti kazini tarehe 28 mwezi huu.