Asalam alaykum wana JF natumai mpo wazima, nia na madhumuni ya kuanzisha hii siredi ni kwakutaka ushauri kutoka kwenu ni vipi mtu unaweza ukaishi kwa mtu mkorofi na mkaelewana?
HakikaMtu mkorofi dawa yake ni wewe kuwa kimya tuu
EwaaaaaKuwa mpole.
Kabisa...Unajuwa hakuna kitu kibaya kama ile kitu inaitwa.... PSYCHOLOGICAL TORTURE...Kukaa kimya ni sehemu ya adhabu hiyo...unateswa kisaikolojia....Mtu mkorofi dawa yake ni wewe kuwa kimya tuu
Na ukiwa kimya sijui kama atafanya ukorofiKabisa...Unajuwa hakuna kitu kibaya kama ile kitu inaitwa.... PSYCHOLOGICAL TORTURE...Kukaa kimya ni sehemu ya adhabu hiyo...unateswa kisaikolojia....
Hawezi, maana raha ya ugomvi na ukorofi ni kujibizana... akisema mshenzi, ukijibu mwenyeweee... anapata nguvu ya kutamka jingine... etc... lakini akisema mshenzi, wewe kimyaaaa... mwehu.... wewe kimyaaaaa.. fala... wewe kimyaaa.. ATAACHA TU...hakuna binadamu anayependa kusemasema peke yake... ataogopa kuonekana kichaa... hivyo atatulia tu.Na ukiwa kimya sijui kama atafanya ukorofi
Wewe una maakiliHawezi, maana raha ya ugomvi na ukorofi ni kujibizana... akisema mshenzi, ukijibu mwenyeweee... anapata nguvu ya kutamka jingine... etc... lakini akisema mshenzi, wewe kimyaaaa... mwehu.... wewe kimyaaaaa.. fala... wewe kimyaaa.. ATAACHA TU...hakuna binadamu anayependa kusemasema peke yake... ataogopa kuonekana kichaa... hivyo atatulia tu.